IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Asingeweza kukutana rais vinginevyo angefukuzwa kama panya ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote waliovaa hapo hawajachanja sioAmeshachanja anatudanganya, asubirie Bajaj za kwenda weekend Mbeya
Ushaanza wewe! Mbona we umeitwa akili lakini ndo umecomment hivi.Ukipewa jina basi linaathiri sana maisha yako. Huwezi mkuta mtu anaitwa TATU akawa wa kwanza hata siku moja.
We tumia kiswahili vizuri sa "kupumuliana" ndo nini khaa!!?Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.
You are talking to the fool minds followers, I pray that they may understand you.Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.
Kwa barabara ipi?!Naniliu ajaye 2030
JPM si ndio alipinga barakoa mbona hamjiulizi kwanini alitumia moyo bandia wa mzungu?? Kwanini asingemtegemea Mungu ama atumie mitishamba??We tumia kiswahili vizuri sa "kupumuliana" ndo nini khaa!!?
Kwahyo hayo magonjwa mengine yamekuja baada ya covid??
Kujikinga ni uoga hujui?, Unajikinga ili usipate au usiwape wengine
Hapo huoni kilichoogopwa nini??
IQ yako inafanana na wale wanaotafuta utajiri waliopo kwenye #ripotimaalum# huko ITV.
Ndio nakuuliza mbona msiache kutumia condom au net maana zote zinatoka kwa mabeberu!! Au Barakoa na chanjo ni hatari kuliko ARV za mabeberu??Hayo magonjwa unayosema yalikuwepo siku zote. Kisha kuvaa kondom na kutumia neti ni uoga unaoletwa na maradhi husika, kama isingekuwa hivyo hizi net na condom zisingetumika.
He's overrated, Hana consistency kabisa. Issue ya katiba ilikua credibility yake kabisa haiwezekani upinge cheo Cha DC afu ukiteuliwa ukubali kuwa DC. Alisema katiba mpya ni lazima ila baada ya uteuzi akasema sio kipaumbele ni makaratasi tu!!Huyu dogo umpende usimpende lakini calibre yake ndio inayomlinda. Vijana kama hawa wanatunzwa kwa kazi za baadae! Ukiona ukiharibu unatupwa hata machakani ujue you are not "one of them".
Huyu usikute hata wakubwa wakisema hawamtaki huko kwenye corridor wanaweka viunzi muacheni! Pamoja na spana zake lakini "hasugui benchi".
Nchi iligeuka ya kijima, eti wakuu wakawa wanaamini ushirikina badala ya science, kiongozi wao baada ya kupigwa nayo karibu wote wakageukia science na kuanza kuvaa barakoaTumeshajifunza hatupeleki washamba na malimbukeni ikulu tena
Swala ni kwamba washamba watapasikia Ikulu redioni. Kwani tumeona na kushuhudia wote kwenye utawala wa JiweWewe huna ubavu wa kupeleka mtu Ikulu
Ni hatari kweli kweli, Lakini haya yalianzishwa mwendazake kipindi kile cha gizaElimu nchi hii inahitajika zaidi. Mtu anashangilia mtu mwingine kutovaa barakoa. Seriously…
Unaweza kuwa na chogo nchi 24 au ukawa kifupi hiv, au tu unakula kama mchwaMimi ni Kichuguu ! Je nina mapungufu gani kutokana na jina langu hilo? Prove!
Hata madaktari wanavaa barakoa inapobidi? Sio kila jambo la ubishi. Michael Jackson wore barakoa in 1980s people though he was insane, sadly he isnt alive to witness this.Duuh jf Ina watu ..!!kwahiyo yeye anajifunza polepole ikifika 2030 ndo atagundua corona ipo na kuvaa barakoa sio suala la kuwa na msimamo wa kijinga..