Akirudi bongo anataka watu wavae ili wamuunge mkono kupata mikopoMsimamo hadi raha!! Siyo yule akitishiwa kidogo analazimisha watu wote kwenye vikao vyake wavae barakoa!!. Kakuta waarabu hawavai naye anaacha kuvaa!!
Hayo magonjwa unayosema yalikuwepo siku zote. Kisha kuvaa kondom na kutumia neti ni uoga unaoletwa na maradhi husika, kama isingekuwa hivyo hizi net na condom zisingetumika.Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.
Ndio maana aliwagomea kwenda tena kubadilisha huko na akatengeneza kitengo kama hicho muhimbili.Mbona alikua anatumia moyo wa bandia tena umetengenezwa na Beberu!! Kwanini asingeacha uoga na kutegemea moyo wake pekee ujisukume?
Tutawapeleka wapiga kazi hata kama washamba, sio wajinga wanaofikiri ikulu ni mahali pa mizinga ya nyuki.Tumeshajifunza hatupeleki washamba na malimbukeni ikulu tena
Humfrey he is strong but you can't be the best than your bossPolepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenywji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
View attachment 2263246
Swali mujarabu hilo.Mbona alikua anatumia moyo wa bandia tena umetengenezwa na Beberu!! Kwanini asingeacha uoga na kutegemea moyo wake pekee ujisukume?
Wewe unakaa na polepole muda wote? Mnakula wote? Mnalala pamoja?Thubutu!! achanje nani? siyo Polepole ninayemfahamu!! Katikati ya watu wote wenye barakoa anadunda kwa uhuru bila barakoa na ana haki na uhuru wote!!
Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.
Msimamo hadi raha!! Siyo yule akitishiwa kidogo analazimisha watu wote kwenye vikao vyake wavae barakoa!!. Kakuta waarabu hawavai naye anaacha kuvaa!!
Duuh jf Ina watu ..!!kwahiyo yeye anajifunza polepole ikifika 2030 ndo atagundua corona ipo na kuvaa barakoa sio suala la kuwa na msimamo wa kijinga..Ukipewa jina basi linaathiri sana maisha yako. Huwezi mkuta mtu anaitwa TATU akawa wa kwanza hata siku moja.
Huyu dogo umpende usimpende lakini calibre yake ndio inayomlinda. Vijana kama hawa wanatunzwa kwa kazi za baadae! Ukiona ukiharibu unatupwa hata machakani ujue you are not "one of them".Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
View attachment 2263246
Protokal ipi kavunja? Hebu iweke hapa!Hata mimi nashangaa balozi anavunja protokali za kidiplomasia. Inaelekea hajui wajibu na kazi za balozi.
Protokal ipi kavunja? Hebu iweke hapa!
Unafikiri Polepole ni ana ubongo wa kunguni kama nyie?
naona baada ya kusoma ky gel kalio limekuwasha, nitakupaka grease shaka ondoaVipi kwani?
Kakuacha?
Homa ya ini ni ugonjwa wa kupumuliana?Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.