Ndivyo wapinzani walivyo siku hizi. Hata hawajui wanongea nini? SGR ni mradi wa muda mfupi wewe Mindi?You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR Julius Nyerere Hydro power elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa mondo mbinu ya barabara, umeme na majina mengine mengi unayoyajua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
Hujaelewa kituNdivyo wapinzani walivyo siku hizi. Hata hawajui wanongea nini? SGR ni mradi wa muda mfupi wewe Mindi?
Una tatizo Miradi kama barabara na reli na umeme haitatui changamoto ya kilimo ya muda mrefu? Ya mazao ya mkulima kupata soko na kutoharibikia mashambani?Kwanza Magufuli anapendelea miradi inayomwonesha zaidi kuliko ile ambayomatokeo yake yanachukua muda mrefu kuonekana na pia hayamwoneshi yeye moja kwa moja. Mfano mzuri, hana interest kivile na kilimo, ambapo ndio kiini cha matatizo karibu yote ya kiuchumi.
Kama wewe ambaye hujaelewa! Huwezi kuendelea bila infrastructure ndugu! Wekeza kwanza katika infrastructure na baadaye Huduma za jamii! Muache utotoHujaelewa kitu
hizo tafiti zimeisaidije dunia? NIMRCAF ilivuka mipaka hata kuuzwa nchi zingine?Tanzania kwa Mara kwanza watafiti waliofanya kitu Chenye impact kwa jamii na dunia ni Magufuli aliyegundua kuwa hadi mapapai yakipimwa na vipimo nayo yanaonekana na corona akachallenge ubora wa vipimo vyao pili akagundua kujifukiza
Wa pili wenye utafiti wenye impact ni NIMRI waliogundua Tiba Lishe ya Corona
Hao wa vyuo stupid wala hela tu za utafiti toka uhuru wana cha maana gani cha tafiti chenye faida kwa watanzania walio wengi? heri pesa ziende kwenye miundombinu kuliko kupelekea hiyo mibwege vyuoni inayojiita utafiti kutwa kujitia kutafiti tu results na impact kwa jamii hakuna
Kuwapa chsllenge kuwa we akso van soble our own problems wakitaka waje wachukue solutionhizo tafiti zimeisaidije dunia? NIMRCAF ilivuka mipaka hata kuuzwa nchi zingine?
Sikumsikiliza alichokuwa akiongea kwani akili, mawazo na imagination (sic) zangu zilijikita kwenye sura na mishipa yake ya shingo ilivyoshupaa wakati akiongea.Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.
Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".
Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.
Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.
Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.
Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.
Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
Upi kushabiki zaidiNimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.
Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".
Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.
Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.
Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.
Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.
Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
nchi nyingi wanaweza kusolve their problem. hiyo ni relative case.Kuwapa chsllenge kuwa we akso van soble our own problems wakitaka waje wachukue solution
Kenya hapo watu wanajifukizs sana na sokoni ndimu malimao nk vinavyotumika kwenye kujifukiza na Tiba Lishe bei juu watu wanatumia
Kuhusu kipimo iliwapa challenge wakarudi maabara tena kutengeneza new version
Achana naye ni chitumbavuYou are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR , Julius Nyerere Hydro power, elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, umeme na miradi mengine mingi unayoyajua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
We unadhani aliye leta ujinga huu hiyo Ilani anaijua basi!Upi kushabiki zaidi
Tanzania muda wote inafanya utafika kupitia taasisi zake kama NIMR na COSTECH kwa kuzitaja chache
Pia Vyuo vinafanya utafiti na Wizara ina kitengo cha Tiba asili kwaajili ya utafiti
Ilan ya sasa imeweka mkazo wa kipekee kwenye Tiba mbadala
Unanikumbusha kituo cha tiba cha Loliondo. Kwa mbali nakumbuka kikombe cha Babu!.Pia Vyuo vinafanya utafiti na Wizara ina kitengo cha Tiba asili kwaajili ya utafiti
We are becoming a world skunk.Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.
Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".
Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.
Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.
Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.
Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.
Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
"kiyasansi" kwa kweli ni TabutupuComedy phase 3.
Wazungu wamefanya utafiti wa kiyasansi wewe unasema haukubaliani nao na unaagiza waganga wa jadi wafanye utafiti na baada ya wiki 2 wanakuletea vichupa vya dawa unakubali.
Unaniacha hoi mkuu. Kumbe mheshimiwa anavihusudu sana vitu hivi?Unanikumbusha kituo cha tiba cha Loliondo. Kwa mbali nakumbuka kikombe cha Babu!.
View attachment 1696446
Je yupo mwenye hakika kama walipona kweli?
Huyo Magufuli alikinywa kikombe cha babu hakukidharau yuko mzima wa afya na ni Raisi wewe ambaye hukukinywa mbona uko choka mbaya tu maisha umepigikaUnanikumbusha kituo cha tiba cha Loliondo. Kwa mbali nakumbuka kikombe cha Babu!.
View attachment 1696446
Je yupo mwenye hakika kama hawa wateka wa Babu walipona kweli?
Kati ya maprofesa wa hovyo kabisa, wanafiki, wanaopenda kujipendekeza kwaajili ya matumbo yao, huyo ni wa kwanza.Kabudi ni mchekeshaji wa mfalme
Huelewi kitu, barabara unaweza kuanza kujenga leo, na mwakani watu wakaiona barabara. Tafiti za kutatua changamoto mbalimbali zinazohusiana tafiti za kisayansi kuchukua miaka mingi. Kwanza unatakuwa uanze na building capacity, ambayo huhusisha kusomesha watu katika nyanja mbalimbali za utafiti wa kisayansi, kabla hujafikia ujenzi wa miundombinu ya kutumika katika utafiti.You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR , Julius Nyerere Hydro power, elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, umeme na miradi mingine mingi unayoijua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.