Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR Julius Nyerere Hydro power elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa mondo mbinu ya barabara, umeme na majina mengine mengi unayoyajua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
Ndivyo wapinzani walivyo siku hizi. Hata hawajui wanongea nini? SGR ni mradi wa muda mfupi wewe Mindi?
 
Kwanza Magufuli anapendelea miradi inayomwonesha zaidi kuliko ile ambayomatokeo yake yanachukua muda mrefu kuonekana na pia hayamwoneshi yeye moja kwa moja. Mfano mzuri, hana interest kivile na kilimo, ambapo ndio kiini cha matatizo karibu yote ya kiuchumi.
Una tatizo Miradi kama barabara na reli na umeme haitatui changamoto ya kilimo ya muda mrefu? Ya mazao ya mkulima kupata soko na kutoharibikia mashambani?

Tatizo la kwanza la kilimo Chetu kubwa ilikuwa soko sio maafisa ugani wavaa suti na tai mashambani

Baada ya miundombinu kukamilika nacsoko kupatikana watu waemeanza sasa kilimo cha mashamba makubwa yaani estates sababu miundo mbinu ipo ikiwemo umeme wa kuchakata mazao huko huko vijijini mfano michele kukobolewa na kufungwa vizuri mahindi pia yna sagwa na kuwa packed nk na kusafirishwa kirahisi .maziwa yanachakatwa huko huko vijijini iwe sababu miundombinu ipo

Una tatizo kwenye uelewa
 
Tanzania kwa Mara kwanza watafiti waliofanya kitu Chenye impact kwa jamii na dunia ni Magufuli aliyegundua kuwa hadi mapapai yakipimwa na vipimo nayo yanaonekana na corona akachallenge ubora wa vipimo vyao pili akagundua kujifukiza

Wa pili wenye utafiti wenye impact ni NIMRI waliogundua Tiba Lishe ya Corona

Hao wa vyuo stupid wala hela tu za utafiti toka uhuru wana cha maana gani cha tafiti chenye faida kwa watanzania walio wengi? heri pesa ziende kwenye miundombinu kuliko kupelekea hiyo mibwege vyuoni inayojiita utafiti kutwa kujitia kutafiti tu results na impact kwa jamii hakuna
hizo tafiti zimeisaidije dunia? NIMRCAF ilivuka mipaka hata kuuzwa nchi zingine?
 
Kuwapa chsllenge kuwa we akso van soble our own problems wakitaka waje wachukue solution

Kenya hapo watu wanajifukizs sana na sokoni ndimu malimao nk vinavyotumika kwenye kujifukiza na Tiba Lishe bei juu watu wanatumia
Kuhusu kipimo iliwapa challenge wakarudi maabara tena kutengeneza new version
 
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.

Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".

Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.

Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.

Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.

Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.

Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
Sikumsikiliza alichokuwa akiongea kwani akili, mawazo na imagination (sic) zangu zilijikita kwenye sura na mishipa yake ya shingo ilivyoshupaa wakati akiongea.
Yale makasha ya Madagascar alisema ndege ya rais haiwezi kuleta dawa ili wewe unywe! Ni sasa na yule aliyesema mtakula nyasi ili tununue ndege ya rais.
 
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.

Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".

Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.

Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.

Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.

Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.

Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
Upi kushabiki zaidi

Tanzania muda wote inafanya utafika kupitia taasisi zake kama NIMR na COSTECH kwa kuzitaja chache

Pia Vyuo vinafanya utafiti na Wizara ina kitengo cha Tiba asili kwaajili ya utafiti

Ilan ya sasa imeweka mkazo wa kipekee kwenye Tiba mbadala
 
Kuwapa chsllenge kuwa we akso van soble our own problems wakitaka waje wachukue solution

Kenya hapo watu wanajifukizs sana na sokoni ndimu malimao nk vinavyotumika kwenye kujifukiza na Tiba Lishe bei juu watu wanatumia
Kuhusu kipimo iliwapa challenge wakarudi maabara tena kutengeneza new version
nchi nyingi wanaweza kusolve their problem. hiyo ni relative case.
hayo malimao sijui kujifukiza.. hizo ni preventives methods tu..
what about cure? tume invest kiasi gani kwenye science mpaka sasa kuja nndawa ya kuaminika?

wataalam wetu tuliowasomesha hadi nchi za nje wanafanya nini?

kenya hawana tofauti na sisi. Nazungumzia Dawa ivuke mipaka kwenda mabara mengine.
hiyo NIMECAF imefika wapi?
 
You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR , Julius Nyerere Hydro power, elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, umeme na miradi mengine mingi unayoyajua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
Achana naye ni chitumbavu
 
Upi kushabiki zaidi

Tanzania muda wote inafanya utafika kupitia taasisi zake kama NIMR na COSTECH kwa kuzitaja chache

Pia Vyuo vinafanya utafiti na Wizara ina kitengo cha Tiba asili kwaajili ya utafiti

Ilan ya sasa imeweka mkazo wa kipekee kwenye Tiba mbadala
We unadhani aliye leta ujinga huu hiyo Ilani anaijua basi!

Yuko kama Lisu aliyekuja Tanzania kavaa Barakoa badae akaivua maana alishangaa kabisa kuona kweli kumbe alikuwa mwenda wazimu.
 
Pia Vyuo vinafanya utafiti na Wizara ina kitengo cha Tiba asili kwaajili ya utafiti
Unanikumbusha kituo cha tiba cha Loliondo. Kwa mbali nakumbuka kikombe cha Babu!.

Babuloliondo1.jpg

Je yupo mwenye hakika kama hawa wateka wa Babu walipona kweli?​
 
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia kushauri Afrika ichukue msimsmo huo.

Msimamo wenyewe ni Tanzania na Afrika kwa ujumla zijiimarishe katika tafiti za chanjo na madawa ili kuondoa utegemezi kwa "mabeberu".

Sina tatizo kimsingi na hoja hiyo. Kwa kweli ni hoja nzuri tu. Tatizo langu ni kwamba hii hoja inatokana na kelele zinazopigwa na viongozi wetu hivi sasa, ili kuenda sawa na misimamo tata ya Magufuli. Kauli aina hii ndio kama anazotoa Profesa Mchembe, katibu mkuu wizara ya Afya. Na ndio zinafanya wengine wanadiriki kupiga marufuku uvaaji barakoa. Ni ujinga na ujuha wa kiwango cha pekee.

Hakuna sera ya utafiti inayotuongoza kufikia hayo anayodai Kabudi, na hata ile "political will" tu haipo. Magufuli arundike mabilioni katika elimu ya juu na utafiti? Apunguze matrilioni yanayokwenda kwenye miundombinu? Aache miradi yaje ya Chato? Wala sioni dalili ya hilo kutokea, hata kama hizo sera zingeandaliwa.

Magufuli huyu anayewafrustrate maprofesa, anayedai vyuo vikuu vitoe hela ya GAWIO serikalini ili ajenge barabara, ndio asimamie miradi ya utafiti wa chanjo za korona, ambayovinahitaji matrilioni, utaalamu wa ngazi ya cutting edge, ambao unahitaji kujengwa na kutunzwa? Sioni hata dalili.

Magufuli sio mtu wa miradi ya muda mrefu, matokeo yaje yeye kaondoka. Anataka afanye na kukamilisha sasa.

Kwa hiyo akina Kabudi na Mchembe wanapiga sound kama za yule waziri wetu mpendwa wa viwanda, aliyetufundisha kwamba hata vyerehani 4 ni kiwanda
We are becoming a world skunk.
 
Unanikumbusha kituo cha tiba cha Loliondo. Kwa mbali nakumbuka kikombe cha Babu!.

View attachment 1696446
Je yupo mwenye hakika kama hawa wateka wa Babu walipona kweli?​
Huyo Magufuli alikinywa kikombe cha babu hakukidharau yuko mzima wa afya na ni Raisi wewe ambaye hukukinywa mbona uko choka mbaya tu maisha umepigika
 
Kabudi ni mchekeshaji wa mfalme
Kati ya maprofesa wa hovyo kabisa, wanafiki, wanaopenda kujipendekeza kwaajili ya matumbo yao, huyo ni wa kwanza.

Akiwa huko Chato aliwahi kutamka kuwa Tanzania inatamani Chato uwe kama jiji la Wuhan huko China. Huyu mwehu Tanzania inayoiongelea ni hilo tumbo oake au kuna Tanzania nyingine?
 
You are controdicting yourself. Hivi miradi ya SGR , Julius Nyerere Hydro power, elimu bure kwa watoto wa kitanzania, maboresho ya huduma za afya, ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, umeme na miradi mingine mingi unayoijua siyo miradi ya matokeo ya muda mrefu.? Napata shida sana kukuelewa.
Huelewi kitu, barabara unaweza kuanza kujenga leo, na mwakani watu wakaiona barabara. Tafiti za kutatua changamoto mbalimbali zinazohusiana tafiti za kisayansi kuchukua miaka mingi. Kwanza unatakuwa uanze na building capacity, ambayo huhusisha kusomesha watu katika nyanja mbalimbali za utafiti wa kisayansi, kabla hujafikia ujenzi wa miundombinu ya kutumika katika utafiti.

Tafiti za kama chanjo ya ndui, zilichukua zaidi ya miaka 30. Magu hana patience na intelligence inayoweza kusaidia research institutions kumea, kustawi na kuimarika. Tafiti hula matrilioni ya pesa bila kuona matokea.

Mwalimu Nyerere alijua umuhimu wa research institutions mbalimbali. Ndiyo maana alisomesha wataalam mbalimbali nje ya nchi na kisha akajenga institutions za utafiti mbalimbali.

Hakuna awamu hata moja, ikiwa pamoja na hii ya Magufuli, iliyowahii kuanzisha research institution hata 1.
 
Tumekuwa Nchi ya MAJUHA ndani ya miaka mitano tu sijui akikaa hiyo miaka 10 hali itakuwaje.
Magufulification ni Juhalisation, Jingishaization, masikinisation, Pumbafusization, Ukatilism, mauajism, utekajism, na vitu vya aina hiyo
 
Back
Top Bottom