Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

Lisasi ndio nini wewe mwehu shoga mkubwa?
Risasi yenyewe imetengenezwa na watu wenye akili timamu wanaojali haki, sheria na utu.
Wewe hata kiswahili hujui mbwa maskini takataka.
Njaa zitakuua
Wewe ni mpuuzi mmoja wewe, wewe umepna kuna jina la mtu kwenye uzi huu

Upumbavu wenu wa kufanya kila kitu kiwe siasa
 
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako

Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?

Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi?

2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
Vipi wauza rasilimali za Nchi kwa wageni? Mafisadi pia wanatuhumiwa wenye mamlaka. Hapo nani utambakiza?
 
Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?
Sikutaka kufungua uzi huu; ila nilipo soma mstari huo hapo juu, moja kwa moja nikaona nifungue na kuujibu huo huo mstari.

Binafsi sioni tatizo kabisa mtu anayeitwa "Rais wa nchi"; lakini hakitendei haki che.o hicho; na hasa anapo tumia nafasi hiyo kuhujumu nchi anayo iongoza, na hataki kamwe kuondoka kwenye nafasi hiyo kwa kutumia mabavu au ulaghai. Kiongozi wa aina hiyo "akitekwa", ni furaha kubwa kwa taifa hilo.
 
Back
Top Bottom