Lisasi ndio nini wewe mwehu shoga mkubwa?
Risasi yenyewe imetengenezwa na watu wenye akili timamu wanaojali haki, sheria na utu.
Wewe hata kiswahili hujui mbwa maskini takataka.
Njaa zitakuua
Sikutaka kufungua uzi huu; ila nilipo soma mstari huo hapo juu, moja kwa moja nikaona nifungue na kuujibu huo huo mstari.
Binafsi sioni tatizo kabisa mtu anayeitwa "Rais wa nchi"; lakini hakitendei haki che.o hicho; na hasa anapo tumia nafasi hiyo kuhujumu nchi anayo iongoza, na hataki kamwe kuondoka kwenye nafasi hiyo kwa kutumia mabavu au ulaghai. Kiongozi wa aina hiyo "akitekwa", ni furaha kubwa kwa taifa hilo.