Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
MSIMCHUKULIE POA MANARA
.
Ameandika @Thadei Ole Mushi.
1.Kama Hisa za Simba zingekuwa sokoni kwa sasa lazima zingeshuka Sana huku za Yanga zikipanda kwa kitendo Cha Manara kuhamia Yanga.
2. Kibiashara Simba kapoteza, hamasa ya Haji kwenye Mpira si ya kuhoji. Kwanza Jersey za Simba hazitatoka Sana kama mwanzo kutokana na kejeli za Manara, lakini pia Simba haiwezi kujaza Uwanja Kwa kiwango Cha Manara alipokuwa akiwapa Hamasa. Hili halitajificha soon tutaliona.
3. Kuna watu wanasema Maneno kwenye Mpira si kitu hivyo Manara Hana athari zozote. Kikubwa wanachosahau watu wa namna hii ni Kuwa soka letu la ndani Ladha yake ni maneno haya ya kina Manara.
Hakuna Timu inaendeshwa ki- professional kama Azam wanachokikosa Azam ni Ladha hii ya kina Manara. Ndio maana Masau Bwire anaweza kukufanya ukaifuatilia Ruvu shooting bila kujua Mchezaji hata mmoja wa Ruvu Shooting. Hii ndio Ladha halisi ya Mpira wetu.
4. Wanaolalamika Manara kwenda Yanga waambie walitaka afanyeje? Abaki nyumbani? Au arudi kule Simba? Yaani Manara asikilize Mtu aliyepo huko Tandahimba kashiba mihogo yake kuwa usiende Yanga halafu utamjazia mafuta ya gari wewe? Utamlisha? Utahudumia familia yake? Yaani aache Dili la GSM kisa aliwahi kuwa Simba?
Mnaombeza Manara hamjui mlifanyalo, Simba kapoteza na kama Fred Vunjabei angelijua haya yangetokea asingekubali kuweka ule mzigo wake Kwenye jersey ya Simba. Lazima mauzo yashuke kutokana na kitendo hiki.
Tusubiri tuone.
NB: Mimi nimewasilisha kwako wala sijaandika mimi haya yameandikwa na Ole Mushi hivyo msinipige vijembe binafsi si shabiki wa YANGA Mimi ni SIMBA