sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ugoro umeshakuathiri ubongo.Hakuna mchezaji hapo
Bora ingekua hata ugoroUgoro umeshakuathiri ubongo.
Ugoro umeshakuathiri ubongo.
Sawa shabiki wa Yanga. Sisi Simba tumekuelewa!Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.
Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.
Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.
(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).
Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.
UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.
2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.
3. Hafai kuwa hata Target man.
4. Anakuwa Off position ya No 10.
5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.
6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.
7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1
8. Majeraha ya mara kwa mara.
NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu
UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.
JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.
Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.
NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Sawa shabiki wa Yanga. Sisi Simba tumekuelewa!
Wakati mlifanya usijali wa mapema kabisa akiwavumilia mlikuwa hamjui hiloPhili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.
Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.
Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.
(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).
Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.
UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.
2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.
3. Hafai kuwa hata Target man.
4. Anakuwa Off position ya No 10.
5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.
6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.
7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1
8. Majeraha ya mara kwa mara.
NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu
UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.
JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.
Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.
NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Sema na Kocha wa Simba Robertinho ana zingua sana , kikosi chale kile like tu, hata timu pinzani inaweza kujua kikosi chako, hao wachezaji wengine hadi viwango vitashuka.Msimlaumu Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri.
kocha anapewa maelekezo anapangiwa kikosi kuna baadhi ya viongozi wana bifu na phiri.
Phiri anakomolewa na Viongozi na ni maksudi kabisa, kinachofanyika ni kumpoteza Phiri akose soko kabisa.
Wakati mlifanya usijali wa mapema kabisa akiwavumilia mlikuwa hamjui hilo

Wataje viongozi hao mkuuMsimlaumu Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri.
kocha anapewa maelekezo anapangiwa kikosi kuna baadhi ya viongozi wana bifu na phiri.
Phiri anakomolewa na Viongozi na ni maksudi kabisa, kinachofanyika ni kumpoteza Phiri akose soko kabisa.
Roberthino sio tu kocha Bali ni mkufunzi wa makocha. Kama anapokea maelekezo anajiaibisha mwenyewe na taaluma take. Angejitengenezea soko kubwa Kama angejisimamia mwenyewe lakini matokeo take analaumiwa kwa makosa ya kina Ally Salim.
Hii ni marathon, Kaja kuchukua Ubingwa sio kukuza viwango vya wachezaji.Sema na Kocha wa Simba Robertinho ana zingua sana , kikosi chale kile like tu, hata timu pinzani inaweza kujua kikosi chako, hao wachezaji wengine hadi viwango vitashuka.
Nadhan Robertinho ni muoga sana kufungwa anaamini hiko kikosi ndo hakiwezi fungwa.
Wachezaji kama Chilunda, miquison, Phiri, hata mabeki lazma wakitoka bench viwango vyao vitakuwa viko chini ,coz hawatokuwa na Match fitness
Si ndy unaambiwa maagizo toka kwa viongozi?Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.
Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.
Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.
(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).
Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.
UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.
2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.
3. Hafai kuwa hata Target man.
4. Anakuwa Off position ya No 10.
5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.
6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.
7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1
8. Majeraha ya mara kwa mara.
NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu
UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.
JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.
Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.
NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Akijua amefika mahali sahihi kumbe amengia cha kikeYANGA walikuwa wanamgombea
Akakimbilia simba
Tumechoka na hili licoment lako kila maraPhili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.