sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Msimlaumu Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri.
kocha anapewa maelekezo anapangiwa kikosi kuna baadhi ya viongozi wana bifu na phiri.
Phiri anakomolewa na Viongozi na ni maksudi kabisa, kinachofanyika ni kumpoteza Phiri akose soko kabisa.