Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Kweli wachawi sio wazee1. Meddie Kagere
2. Pascal Wawa
3. Chris Mushimba Mugalu
4.Thadeo Lwanga
5. Caesar Manzoki
6. Bobosi
7. Adebayor
8. Junior Lokossa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wachawi sio wazee1. Meddie Kagere
2. Pascal Wawa
3. Chris Mushimba Mugalu
4.Thadeo Lwanga
5. Caesar Manzoki
6. Bobosi
7. Adebayor
8. Junior Lokossa.
Viungo wakabaji, winger, beki katiSalaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal
3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal.
Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi anatufaa pale msimbazi, tujenge hoja na sio ajabu tuka influence usajili kwa asilimia fulani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]1. Meddie Kagere
2. Pascal Wawa
3. Chris Mushimba Mugalu
4.Thadeo Lwanga
5. Caesar Manzoki
6. Bobosi
7. Adebayor
8. Junior Lokossa.
I second you broYanga huwa wanajilipua ndio maana wana wachezaji wazuri.
MO ana kaubahiri fulani, anapenda cheap players.
Huwezi kumwacha Adebayo unaenda kumsajiri Okwa, halafu unataka kushindana na Mamelodi.
Nimepata za ndani kabisa, hakuna mchezaji anayekuja Simba bila idhini ya MO.
Nawapongeza sana wachezaji wa Simba wanajituma sana ingawa viwango vyao ni vya chini.
Tunashindana na wachezaji wanaosajiriwa kwa mabilioni ya pesa na mishahala ya mamilioni. Yaani mchezaji wa mshahara wa milioni kumi anacheza na mchezaji analipwa zaidi ya milioni mia kwa mwezi.
Kuna wachezaji wazuri hapa kati Kariba ya Adebayo, hawaitaji pesa ndefu sana na wanakiwango kizuri sana cha kushindania kombe la Afrika.
Lingine Simba iache kuchukua vichezaji vidogo vidogo kwa ndoto za kufanana na Luiz miquessoni.
Simba inahitaji wachezaji wenye Bodi kubwa pia. Tuachane na kuchukua vichezaji kama vitoto vya shule vikina Banda, Sackho, Okwa, nk.
Inawezekana feisal kucheza simbaItakua ike yanga ya dk Mshindo Msola.
Hii yanga ya watoto wa mjini usitegemee hilo kutokea. Huoni sakata la Feisali mlivyokwaa kisiki.
Interception mmefanyiwa nyie usajili wa Aziz Ki. Na bado mtaendelea kufanyiwa.
Mo sasa abadilike....billion 2 wachezaji watano 5 wa kiwango cha juu huko nje unawapata....wanatosha kuibadilisha simba, lkn sharti scouting team iwe nzur na azimbe upigaji kama ambavyo yanga wapo sasa hivi.... tuingie TP mazembe tumlete Kizumbi ni bonge la winger kisha tutafute wengne, mbona wachezaji wapo wengi tuNina mashaka na wapigaji, watatuletea kina Sawadogo wengine
MO si mmiliki wa SimbaMO nae awe tayari kutoa hela.
MO anaonewa tu, hana umiliki wa Simba kwa 100% yeye ana 49% pekee, hao wengine wenye 51% wajitokeze wagharamikeYanga huwa wanajilipua ndio maana wana wachezaji wazuri.
MO ana kaubahiri fulani, anapenda cheap players.
Huwezi kumwacha Adebayo unaenda kumsajiri Okwa, halafu unataka kushindana na Mamelodi.
Nimepata za ndani kabisa, hakuna mchezaji anayekuja Simba bila idhini ya MO.
Nawapongeza sana wachezaji wa Simba wanajituma sana ingawa viwango vyao ni vya chini.
Tunashindana na wachezaji wanaosajiriwa kwa mabilioni ya pesa na mishahala ya mamilioni. Yaani mchezaji wa mshahara wa milioni kumi anacheza na mchezaji analipwa zaidi ya milioni mia kwa mwezi.
Kuna wachezaji wazuri hapa kati Kariba ya Adebayo, hawaitaji pesa ndefu sana na wanakiwango kizuri sana cha kushindania kombe la Afrika.
Lingine Simba iache kuchukua vichezaji vidogo vidogo kwa ndoto za kufanana na Luiz miquessoni.
Simba inahitaji wachezaji wenye Bodi kubwa pia. Tuachane na kuchukua vichezaji kama vitoto vya shule vikina Banda, Sackho, Okwa, nk.
DefenceSalaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal
3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal.
Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi anatufaa pale msimbazi, tujenge hoja na sio ajabu tuka influence usajili kwa asilimia fulani.
HUNA AKILIFeitoto
Peter shilule
Morison
Jamaa wa Wydadi alyetufunga Simba
Feitoto ana mkataba na Yanga mpaka May 2024Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal
3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal.
Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi anatufaa pale msimbazi, tujenge hoja na sio ajabu tuka influence usajili kwa asilimia fulani.
Hapa unyama, tatzo mo hela anatoa nyingi lkn wachezaji tunashindwa kuchukuaDefence
1.Attohoulla Yao/Abdulaziz/ Kayondo/ Charles Manyama/Osman Sane
2.Livingston Mulondo/ Ndasi/
Midfield.
Mohamed Zoungrana/ Zemanga Soze/Osmane Kane.
Attacking midfield
Maarouf Tchakei, Disan Galiwango / Edmund John/ Hassan Dilunga/Marvel Youngman/ Allan Okelo
Wings.
Luis Miquissone/ Kipre Junior/ Phillipe Kinzumbi/ Milton Karissa
Centerforward.
Paul Aquah, Jailes Ngombe jr/ Boyel/ Ranga Chivaviro/ Benson Omala/ Agoro/ Victorien Adebayo