Msimu ujao 2023/2024 Simba tunahitaji sajili hizi ili tuwe imara

Huyo Feitoto akirudi dimbani msitegemee kama atakuwa na kiwango kile wakat anagoma kiufupi ana kazi kubwa sana ya kufanya.
 
Umetaja sifa za wachezaji wa Yanga!
 
Hapa unyama, tatzo mo hela anatoa nyingi lkn wachezaji tunashindwa kuchukua
Wachezaji niliotaja siyo wa bajeti kubwa sana bila shaka hakuna atakayekataa project ya Simba kati yao.
 
Za ndaani kabisa, yule kipa namba moja kaishamalizana na lambalamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…