[emoji23][emoji23][emoji23]mwendo umeumaliza
pole nayo ni hekimaHapa utapokea pole tu. Sidhani kama kuna hekima yoyote ile ya kukupatia.
Pole sana. Usikate tamaa.Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Shukuru Mungubunafamilia waelewa just relux jipe muda then ingia tena uwanjani aluta continua!Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Kama home hapana noma wewe nyuti tu, ukitoka kwenda kujitegemea utakutana walimwengu na maudhi yao, ukijaribu kusimama na ku play part yako uweke mambo sawa kuna kundi litakuchukua, litakuteka na kwenda kukuua.Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Asante sana mkuuPole sana mkuu usikate tamaa
Aiseee we jamaa MUNGU ANAKUONAPolee sana mkuu kaa home ποΈ ukitoka duniani kubaya kaa home mkuu
ππAiseee we jamaa MUNGU ANAKUONA
Waambie wazee kama bado wapo hai wakupeleke kijijini kwao na wakakukatie eneo la kulima uendeshe maisha yako huko maisha ya mjini hayakutaki.Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Kasikilize ngoma ya Roma ft Abiud - Nitasimama tena. Ina funzo kubwa sana.Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Pole sana, hapo kwa Baba umekaa Muda gani?Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.