Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

Kwenye ndoa, ulipata watoto/ mtoto? If yes then hakuna kilichoharibika, maana mengine yote yanarekebishika..
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Pole sana. Usikate tamaa.

Siku ukifa ndio utahesabu kama kupoteza pambano
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Shukuru Mungubunafamilia waelewa just relux jipe muda then ingia tena uwanjani aluta continua!
 
Tupo wengi, nimetoka kumsalimia baba muda si mrefu.

Acheni kutupondea tunaokula ugali wa shikamoo baba.
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Kama home hapana noma wewe nyuti tu, ukitoka kwenda kujitegemea utakutana walimwengu na maudhi yao, ukijaribu kusimama na ku play part yako uweke mambo sawa kuna kundi litakuchukua, litakuteka na kwenda kukuua.
Bora utulie tu nyumbani ila hakikisha kuwepo keako nyumbani kuna add value kwa kufanya majukumu yote ya hapo na kuijoa gharama za kuajiro houseboys n.k
 
Mkabidhi Yesu maisha yako na milango yako yote ya baraka iliyofungwa itafunguliwa
 
Bado una pumzi hili tu mshukuru Mungu. Kwa Imani yako, jaribu kuwa karibu na Mungu na uzidishe Imani. Usikubali stress ikae kwako, haya yote ya duniani na yanapita.

Ndiyo maana pakaitwa nyumbani, kaa kwa amani, huku ukishirikisha watu wa kiroho na watu wazima unaowaamini. Naamini utapata pa kuanzia kutoka kwa hao watu. Mwenyezi Mungu, akupe haja ya moyo wako kaka.
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Waambie wazee kama bado wapo hai wakupeleke kijijini kwao na wakakukatie eneo la kulima uendeshe maisha yako huko maisha ya mjini hayakutaki.
 
Pole mkuu ila kumbuka kwenye maisha kuna ups and down

P kwa kuongeza pia unaweza ukasema una fani gani au ujuz gani amini unawez kuta njia yako ya kutoka kuna watu wapo nayo huku jf
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Kasikilize ngoma ya Roma ft Abiud - Nitasimama tena. Ina funzo kubwa sana.

All in all pole sana mkuu.
 
Don't lose yourself,yakikushinda kama hivyo unarudisha mpira Kwa kipa,unajipanga upya,ila usibutue Sana ,ukamfunga kipa wa timu yako
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Pole sana, hapo kwa Baba umekaa Muda gani?
 
Back
Top Bottom