Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMA, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
 
Ila huyo mama yake aliekwambia yupo mdogo wake recho kisa kaona umepata kazi ya kueleweka huyo mama ni mpuuzi, ilitakiwa umwambie simtaki tena recho wala mdogo wake ila unamtaka yeye alivyo hana akili angekupa mzigo.

Binafsi siwezi kujiunga kataa ndoa bado natafuta mke.
Huyo mama ni chenga sana.

Naona darasa la dronedrake linawaingia vijana.
 
Mnajidanganya sana, Mungu awajalie afya njema siku zote lkn afya ikiyumba ukiwa na mweza sahihi ana kustiri sana.
Pia hao watoto malezi yake ni magumu sana
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
 
Vijana nimeanza kuwaelewa baada ya kutukanana na mama mkwe wangu
Nitawajibika. Kuliko kufuga jitu lenye meno 32 ambayo products ni stress na frustration
Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?

Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
.
 
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
Kwani si ndio kuna talaka? Na kwanini mshindwa
 
Hoja mbona kama nyepesi mkuu
We tafuta mmoja Anza nae uhusiano na kimsingi huwa ni unalipia show ya kwanza na ya pili zinazofata huwa manzi anakuja mwenyewe hadi ghetto na ikibidi anahudumia baadhi ya mambo
Cha msingi game one na two mtombe haswa kwa Kasi na kwa utulivu
Wanawake sio wabaya kiasi hicho ni vile tunamaanisha sana.
NB:usiwe na wengi mmoja anatosha.
 
hahaa mkuu yaani mtu anakataa na kususia jambo ambalo hajawahi kulifanya. Unawezaje kuamua jambo ambalo hujawahi jaribu kabisa ila kwa maneno ya mtaani tu.
Shida yenu huwa hamsomi na kuelewa. Wakataa ndo wote hutoa sababu zao, na sababu yao kubwa ni kwamba ndia za sasa mwanamke yupo kimaslahi zaidi. Mtoa mada kasema wazi kabisa kuwa amepigwa chini kwa sababu hakua na kazi nzuri akachukuliwa mwalimu([emoji28][emoji28][emoji28]) maana yake familia ipo ki maslahi na sio kujenga familia. Sasa hapo mnataka aingie akakutane na moto na wakati cheche kaziona?
 
Of course ili ukikatae kitu lazima mwanzo uwe "ulikitaka". Ugumu wa kukipata ndio unaleta "ukataaji" kama response ya kukubaliana/kucope na kilichotokea.

Nimesoma comment za bàada ya post unapondea KE, ni mwendelezo wa kufight trauma waliokusababishia sio hate wala sio kweli kuwa hawana cha kuoffer kama unavyojaribu kujipa moyo, kama ingekuwa kweli you couldn't attempt at the first place.

Jipe muda utapona na utasahau.... with time utapata uhakika na maamuzi yako.

Ndoa ni riziki, sio kila mtu atapata na sio kila mtu atakosa.
 
Back
Top Bottom