Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Kijana usikate tamaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu wako anaandaliwa na Mungu mwenyewe! Kwa hiyo badili mawazo karibu kwenye chama chetu kikubwa NDOA TEAM!
Usikubali kujikosesha mengi.
 
Ni maamuzi bora sana umefanya na utafurahia maisha mkuu niamini mimi!
NDOA NI UTAPELI
 
Hahahahahahahahahaaa mwanamke na utulivu wa moyo na akili wapi na wapi?
Kaka hivo ndivyo ilivyo. Formula ni Ile Ile "survival of the fittest". Ukiona unakula za uso wewe sio fittest hapo ulipo tafuta angle yako.
 
Back
Top Bottom