Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Naoma Mwalimu kapindua meza, kumbe ualimu ni kazi ya kueleweka! wewe endelea kukaa mwenyewe kama mchawi huko ticha anapewa yote anajipigia recho wako hapangiwi pa kumwagia.
 
Zaidi ya k mwanamke hana kingine cha Ku offer kwenye mahusiano.

Wewe tafuta hela kula mbususu enjoy maisha. Ndoa ni mfumo wa maisha uliofeli zama hizi
Mwanamke tofauti na K" atakuoffer umasikini na hakika utajutia sana na kuishi maisha ya kujihukumu daily

Nb: sishauri mwanaume mwezangu kuoa, japo mimi nitaoa
 
"nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine"

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Hongera ndgu
 
Peer pressure..tulia tuliza ki moyo hicho...ukiwa mkubwa mkubwa utabadili mawazo
 
kijana,mpaka unatafuta mke mitandaoni ni dhahiri kuna shida sehemu.😂😂

sawa mama mkwe alikuwa na wenge,ni baada ya kuona hueleweki.sawa recho umemkosa lakini inaonekana bado unampenda kweli kweli,huna sifa zile za kiume kuruhusu jambo lipite na kushika mengine,ona sasa umezira ndoa kabisa.

tungekuwa sisi vijana wa dunia ya sasa mdogo wake recho angeliwa na hata mama mtu pia maana anaonekana nayeye umeme umezidi kichwani,hakuna kufa kinyonge maisha lazima yaendelee kivita namna hiyo.

na hata siku moja hatuwezi ikataa ndoa,jambo lenye heri kabisa la kupendeza😂😂
 
Back
Top Bottom