Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Mama Recho kafanya kijana wa watu azamie Team kataa ndoa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazii ipo.
 
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Mpango wa kutokuoa nj mpango binafsi.ila unaweza pia usipate baraka
 
Relax u will get the one u wanted unaonekana una pressure ya wife material time will come hii kauli ya kataa Ndoa utaifuta.
 
Ndoa inakuketea heshima. Hakikisha una mwenza anaetambulika rasmi kiserikali

Harusi achana nazo, wewe fanya ndoa uishi na mweza

Kama kuchepuka utakuwa una zipiga kimya kimya but make sure unamwenza Rasmi home na kuzaa nae ili uwe na familia
 
Yani kupata kazi kidogo ushaanza kuona wanawake wote wanakupendea pesa. Na wenye pesa zao wasemeje sasa. Badilisha sehemu unazopata wanawake zako, pia acha kujionyesha kuwa wewe una kazi nzuri au una hela. Pesa au kazi yako isiwe kitu cha kwanza mwanamke anakijua kuhusu wewe. Decent women wapo wengi tu, itakua unawaturn off huwapati
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraka, laana ni illusion. Hakuna kitu kama hio chinibya jua
Sawa,ila pia anza kutathmini mikakati unayotumia kumpata mke.Haiwezekani Tanzania ina wanawake wengi tuu wazuri wanaofaa halafu wewe unawapata wasiofaa.Labda unataka easy go,yaana mwanamke a express inrerest,yaani ajigonge gonge kwako ndiyo ? wa hivyo wengi hawafai,mwanamke anatafutwa.Anayejielewa huwezi mpata kisimple simple hivyo. Usikubali kukata tamaa ya mapema hivyo.Kuoa ni kitu mhimu.na kuoa mke sahihi ni mhimu zaidi.Ila tambua pia kumpata mke sahihi si kitu cha kufumba na kufumbua inahitaji muda wa kutosha. "kataa ndoa" ni maneno ya walio feli.
 
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.

Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.

Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.

Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA

2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA

3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA

4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?

Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMANI, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.

Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Waovu wengine...Hakika hao ndio waliojaa mitaani siku hizi
 
Nakubariki kwa upendo, ubaharia mtakatifu, na Mungu akupe utulivu ukiungana nasi Masenior na Maseneta wa Chama kikuu cha Kataa Kuoa kataa ndoa, Kuoa Ni upumbavu na kikwazo cha maendeleo ya uchumi katika ngazi ya jamii na kitaifa.

Baharia wenu nipo

Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
 
Nakubariki kwa upendo, ubaharia mtakatifu, na Mungu akupe utulivu ukiangana nasi Masenior na Maseneta wa Chama kikuu cha Kataa Kuoa kataa ndoa, Kuoa Ni upumbavu na kikwazo cha maendeleo ya uchumi katika ngazi ya jamii na kitaifa
🧢
 
Swala la ndoa litabaki kuwa ni jambo muhimu kwa mwanaume
Kama samaki wote wameoza tafuta mwenye ufadhari dunia hii sio ya kulipa ubaya eti sababu umefanyiwa ubaya
 
Sawa,ila pia anza kutathmini mikakati unayotumia kumpata mke.Haiwezekani Tanzania ina wanawake wengi tuu wazuri wanaofaa halafu wewe unawapata wasiofaa.Labda unataka easy go,yaana mwanamke a express inrerest,yaani ajigonge gonge kwako ndiyo ? wa hivyo wengi hawafai,mwanamke anatafutwa.Anayejielewa huwezi mpata kisimple simple hivyo. Usikubali kukata tamaa ya mapema hivyo.Kuoa ni kitu mhimu.na kuoa mke sahihi ni mhimu zaidi.Ila tambua pia kumpata mke sahihi si kitu cha kufumba na kufumbua inahitaji muda wa kutosha. "kataa ndoa" ni maneno ya walio feli.
Alichokiongea mtoa mada ni kweli kabisa, sijui kwasababu wewe sio mwanaume, ndo maana huelewi, kwa mwanaume, asilimia 90% ya wanawake atakaokutana nao kila siku ni wadangaji wanaompendea hela, asilimia 10 ni wanawake wema na sahihi, kwenye hio asilimia 10 hujatoa wanawake ambao hawakutaki, na wanawake ambao huwataki, unabaki na percent ndogo sana ambayo probability ya kukutana na hao wadada sahihi inazidi kuwa ndogo

Kwa dunia ya sasa nafikiri mwanaume ukitaka kuoa usichunguze sana, Wala kutumia akili, la sivyo hutaoa Lihove2
 
Ukifika uzeeni utaona uamuzi wako sio sahihi.
Ndoa Haina shida tatizo ni kukosa elimu kuhusu ndoa tafuta wataalamu WA mambo ya ndoa upate wako wa milele wa kufurahi nae.
Shida ni kukurupuka.
Kwann zamani watu wazima waliwatafutia watoto wao wenza sahihi jibu ni kwa sababu waliwafahamiana vizuri asili.
Jiulize kwann dini na jadi zinakataa no sex before marriage.
 
Alichokiongea mtoa mada ni kweli kabisa, sijui kwasababu wewe sio mwanaume, ndo maana huelewi, kwa mwanaume, asilimia 90% ya wanawake atakaokutana nao kila siku ni wadangaji wanaompendea hela, asilimia 10 ni wanawake wema na sahihi, kwenye hio asilimia 10 hujatoa wanawake ambao hawakutaki, na wanawake ambao huwataki, unabaki na percent ndogo sana ambayo probability ya kukutana na hao wadada sahihi inazidi kuwa ndogo

Kwa dunia ya sasa nafikiri mwanaume ukitaka kuoa usichunguze sana, Wala kutumia akili, la sivyo hutaoa Lihove2
Mkuu mimi ni Me nimeoa na ndoa ina miaka mingi tuu. So nina ka experience.Tafuteni wake kwa utulivu wapo! acheni mihemuko.halafu hizo perecentage ni zina mislead mkuu inategemea ulipo collect hizo data.
 
Back
Top Bottom