Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
 
Huyo mama ni chenga sana.

Naona darasa la dronedrake linawaingia vijana.
 
Mnajidanganya sana, Mungu awajalie afya njema siku zote lkn afya ikiyumba ukiwa na mweza sahihi ana kustiri sana.
Pia hao watoto malezi yake ni magumu sana
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
 
Vijana nimeanza kuwaelewa baada ya kutukanana na mama mkwe wangu
Nitawajibika. Kuliko kufuga jitu lenye meno 32 ambayo products ni stress na frustration
Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?

Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.

1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?

Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
.
 
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
Kwani si ndio kuna talaka? Na kwanini mshindwa
 
Hoja mbona kama nyepesi mkuu
We tafuta mmoja Anza nae uhusiano na kimsingi huwa ni unalipia show ya kwanza na ya pili zinazofata huwa manzi anakuja mwenyewe hadi ghetto na ikibidi anahudumia baadhi ya mambo
Cha msingi game one na two mtombe haswa kwa Kasi na kwa utulivu
Wanawake sio wabaya kiasi hicho ni vile tunamaanisha sana.
NB:usiwe na wengi mmoja anatosha.
 
hahaa mkuu yaani mtu anakataa na kususia jambo ambalo hajawahi kulifanya. Unawezaje kuamua jambo ambalo hujawahi jaribu kabisa ila kwa maneno ya mtaani tu.
Shida yenu huwa hamsomi na kuelewa. Wakataa ndo wote hutoa sababu zao, na sababu yao kubwa ni kwamba ndia za sasa mwanamke yupo kimaslahi zaidi. Mtoa mada kasema wazi kabisa kuwa amepigwa chini kwa sababu hakua na kazi nzuri akachukuliwa mwalimu([emoji28][emoji28][emoji28]) maana yake familia ipo ki maslahi na sio kujenga familia. Sasa hapo mnataka aingie akakutane na moto na wakati cheche kaziona?
 
Of course ili ukikatae kitu lazima mwanzo uwe "ulikitaka". Ugumu wa kukipata ndio unaleta "ukataaji" kama response ya kukubaliana/kucope na kilichotokea.

Nimesoma comment za bàada ya post unapondea KE, ni mwendelezo wa kufight trauma waliokusababishia sio hate wala sio kweli kuwa hawana cha kuoffer kama unavyojaribu kujipa moyo, kama ingekuwa kweli you couldn't attempt at the first place.

Jipe muda utapona na utasahau.... with time utapata uhakika na maamuzi yako.

Ndoa ni riziki, sio kila mtu atapata na sio kila mtu atakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…