kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,668 Reaction score 9,809 Jan 31, 2024 #141 Joh Doe said: Unahitaji kugusa moto ili ujiridhishe kuwa unaunguza? Click to expand... Mfano wako hauko relevant bwana mdogo. Moto uko uniform unaunguza lakini ndoa haziko uniform zinatofautiana baina ya mtu na mtu.
Joh Doe said: Unahitaji kugusa moto ili ujiridhishe kuwa unaunguza? Click to expand... Mfano wako hauko relevant bwana mdogo. Moto uko uniform unaunguza lakini ndoa haziko uniform zinatofautiana baina ya mtu na mtu.
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jan 31, 2024 #142 Kijana usikate tamaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu wako anaandaliwa na Mungu mwenyewe! Kwa hiyo badili mawazo karibu kwenye chama chetu kikubwa NDOA TEAM! Usikubali kujikosesha mengi.
Kijana usikate tamaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu wako anaandaliwa na Mungu mwenyewe! Kwa hiyo badili mawazo karibu kwenye chama chetu kikubwa NDOA TEAM! Usikubali kujikosesha mengi.
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,266 Reaction score 4,057 Jan 31, 2024 #143 Ni maamuzi bora sana umefanya na utafurahia maisha mkuu niamini mimi! NDOA NI UTAPELI
Mtembezi Kichomi JF-Expert Member Joined Feb 24, 2022 Posts 696 Reaction score 993 Feb 2, 2024 #144 Joh Doe said: Hahahahahahahahahaaa mwanamke na utulivu wa moyo na akili wapi na wapi? Click to expand... Kaka hivo ndivyo ilivyo. Formula ni Ile Ile "survival of the fittest". Ukiona unakula za uso wewe sio fittest hapo ulipo tafuta angle yako.
Joh Doe said: Hahahahahahahahahaaa mwanamke na utulivu wa moyo na akili wapi na wapi? Click to expand... Kaka hivo ndivyo ilivyo. Formula ni Ile Ile "survival of the fittest". Ukiona unakula za uso wewe sio fittest hapo ulipo tafuta angle yako.