Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
inawezekana kweli ni 2014, na kasi ilipungua sana kwa sababu Pikipiki, Bajaj, Guta nk zilianzishiwa namba zao za MC kwa hiyo Magari yakabaki na namba zake peke yake huko TRA ndio maana bado tupo DYaah DA ilianza 2014 september