Msiokuwa na wapenzi mnapambana vipi na hiki kibaridi cha hizi mvua za El-Nino?

Msiokuwa na wapenzi mnapambana vipi na hiki kibaridi cha hizi mvua za El-Nino?

•Wafanye mazoezi ya kutosha.
•Wafanye kazi hadi mwili uchoke.
•Wawe watu wa kusali na kusoma neno la Mungu.
•Wasikilize nyimbo za injili na qaswida.
•Wasipende kukaa peke yao muda mwingi.
•Wazidi kumtumainia Mungu.

Maisha ya kulala peke yako ni mateso.
 
Back
Top Bottom