ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Namba 5 umenisema mimi😂•Wafanye mazoezi ya kutosha.
•Wafanye kazi hadi mwili uchoke.
•Wawe watu wa kusali na kusoma neno la Mungu.
•Wasikilize nyimbo za injili na qaswida.
•Wasipende kukaa peke yao muda mwingi.
•Wazidi kumtumainia Mungu.
Maisha ya kulala peke yako ni mateso.