Msiokuwa na wapenzi mnapambana vipi na hiki kibaridi cha hizi mvua za El-Nino?

Msiokuwa na wapenzi mnapambana vipi na hiki kibaridi cha hizi mvua za El-Nino?

[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mimi ninayejaribu kuwapigia simu hadi wale niliowakataliaga na sasa hawapokei. Cha ajabu hata pm nilizozisusia nimeamza kuzijibu cha ajabu hamna anayejibu.
Kweli malipo hapa hapa. Niwashe jiko la mkaa tu.
Hahahaa na bado huu mwanzo tu, si ulijifanya kutukazia enzi zile 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom