Msiompenda Samia aidha muamue kumpenda au msongo wa mawazo uwashughulikie

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako wachache sana.
Hao polisi wachache walionyesha uchache wao tarehe 29 October.
Baadaye wakaja na ngonjera zao za tarehe 9 Disemba, serikali kwa pamoja ikasimama imara vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko upande wa serikali vikitetea maslahi ya Taifa kwanza. Wahuni wameshindwa.
Sasa wanaanza yuko ICU mara amekufa.
Kwani kuna atakayeishi milele, afe mtoto wa miaka 4 sembuse mtu mzima wa miaka 60.
Mna Pepo wachafu.
Hao pepo wameingia kwa njia ya chuki.
Chuki inafungulia milango kwa mapepo kuliko uzinzi na ushirikina.
Dawa ni moja tu kumpenda Rais Samia, kinyume na hapo msongo wa mawazo utawashughulikia.
 
Waliamza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.

Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Wewe na we ni muuaji? Unamtetea Samuya muuaji?

Unaliowa au unamtetea bure?

Na wewe uliua watu au wewe ni mpiga zumari wao tu?
 
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako wachache sana.
Hao polisi wachache walionyesha uchache wao tarehe 29 October.
Baadaye wakaja na ngonjera zao za tarehe 9 Disemba, serikali kwa pamoja ikasimama imara vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko upande wa serikali vikitetea maslahi ya Taifa kwanza. Wahuni wameshindwa.
Sasa wanaanza yuko ICU mara amekufa.
Kwani kuna atakayeishi milele, afe mtoto wa miaka 4 sembuse mtu mzima wa miaka 60.
Mna Pepo wachafu.
Hao pepo wameingia kwa njia ya chuki.
Chuki inafungulia milango kwa mapepo kuliko uzinzi na ushirikina.
Dawa ni moja tu kumpenda Rais Samia, kinyume na hapo msongo wa mawazo utawashughulikia.
Tinampenda mama yako
 
Ukiona mwanadamu anaanza kumuombea kifo mwenzake jua Huyo ni chizi.
Kwani watu wanamuombea kifo au mnajihisi ? Watu wanasema she must Go.. ya kuombea kifo yanetokea wapi.. anyway ukibwa na uharo lazima uutoe
 
Samuya hapendwi na watz walio wengi, ushahidi ni watz kususia uchaguzi kwa kutojitokeza kwenda kumpigia kura!

Hivyo samuya yuko hapo kwa hisani ya mtutu wa bunduki!
 
Wanaomba sasa kwa Mungu eti afe baada ya kutaka kumpindua na kuchezea kichapo heavy...Wanaume wazima wamebaki kumpiga vijembe ,leo nyumba za ibada ni vijembe tu na vitabu vya Mungu vimewekwa pembeni.
 
Ukiona mwanadamu anaanza kumuombea kifo mwenzake jua Huyo ni chizi.
Pia jitathmini kwanini??? Magu ilianza hivihivi mara Pwaaa,mamayako kalikologa mwache alinywe. Hivi mwenye kujielewa anawezaje kuiona miaka mitano madaraki kwa hili kama hii??? Hana ndugu wanaempenda wakamshauri??
 
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako wachache sana.
Hao polisi wachache walionyesha uchache wao tarehe 29 October.
Baadaye wakaja na ngonjera zao za tarehe 9 Disemba, serikali kwa pamoja ikasimama imara vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko upande wa serikali vikitetea maslahi ya Taifa kwanza. Wahuni wameshindwa.
Sasa wanaanza yuko ICU mara amekufa.
Kwani kuna atakayeishi milele, afe mtoto wa miaka 4 sembuse mtu mzima wa miaka 60.
Mna Pepo wachafu.
Hao pepo wameingia kwa njia ya chuki.
Chuki inafungulia milango kwa mapepo kuliko uzinzi na ushirikina.
Dawa ni moja tu kumpenda Rais Samia, kinyume na hapo msongo wa mawazo utawashughulikia.
Kifo ni kifo tuuu
Kama vifo vingine

Ni swala la mudaa tuu
 
Simpendi shetani na sina msongo wa mawazo. Itakuwa huyo mama
 
Kummmmanyoko, sisi na yeye nani anashughulikiwa na msongo wa mawazo sasa hivi? Hivi ulishawahi kuona Rais anakimbizwa na bi Gen-Z mpaka anataka mafichoni? Na bado, hii nchi ataongoza kwa taabu ana!
 
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako wachache sana.
Hao polisi wachache walionyesha uchache wao tarehe 29 October.
Baadaye wakaja na ngonjera zao za tarehe 9 Disemba, serikali kwa pamoja ikasimama imara vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko upande wa serikali vikitetea maslahi ya Taifa kwanza. Wahuni wameshindwa.
Sasa wanaanza yuko ICU mara amekufa.
Kwani kuna atakayeishi milele, afe mtoto wa miaka 4 sembuse mtu mzima wa miaka 60.
Mna Pepo wachafu.
Hao pepo wameingia kwa njia ya chuki.
Chuki inafungulia milango kwa mapepo kuliko uzinzi na ushirikina.
Dawa ni moja tu kumpenda Rais Samia, kinyume na hapo msongo wa mawazo utawashughulikia.
Ameshafariki tutolee fujo hapa
 
Ngoja nikutie ingnore batton huu upuuzi wako sitauona tena
 
Msongo wa mawazo unamshughulikia Samia huko alipojificha/fichwa.
 
Back
Top Bottom