Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana.
Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM?
Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?
Zitto Kabwe ni kada wa CCM.
Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.
Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi wa Lissu alivyocharangwa mapanga.
Makamanda wenzangu wenye uchungu na nchi tujitafakari.