Msipindishe maneno, Makonda amemaanisha kuwa Mbowe na wenzake ni vibaraka wa CCM, huku sisi makamanda tukiumia

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana.

Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM?

Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?

Zitto Kabwe ni kada wa CCM.

Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.

Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi wa Lissu alivyocharangwa mapanga.

Makamanda wenzangu wenye uchungu na nchi tujitafakari.
 
Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM ?

Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?

Zitto Kabwe ni kada wa CCM.

Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.

Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi wa Lissu alivyocharangwa mapanga.

Makamanda wenzangu wenye uchungu na nchi tujitafakari.

Andamana mkuu
 
Wewe ndo ulimwambia aseme hivyo? Kiasi kwamba ujue alimaanisha nini? Au unataka kupitisha chuki zako hapo?
 
Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana.

Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM?

Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?

Zitto Kabwe ni kada wa CCM.

Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.

Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi wa Lissu alivyocharangwa mapanga.

Makamanda wenzangu wenye uchungu na nchi tujitafakari.
Ulitaka mapanga acharangwe Lissu?
 
Wewe nawe ukiwa kwenye heat lazima uruke na Mbowe hao wanaume wa CCM hawakutoshelezi. Pimbi wewe
 
Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana.

Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM?

Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?

Zitto Kabwe ni kada wa CCM.

Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.

Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi wa Lissu alivyocharangwa mapanga.

Makamanda wenzangu wenye uchungu na nchi tujitafakari.

Umerudi Tena. Karibu.
 
Back
Top Bottom