Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Ehee ndio hivyo jinsi watu wanavyokukimbia wakati wa kuumwa ndivyo jinsi watakavyokuja kwa wingi kukuchangia hela ya jeneza na sanda na wakaweka pombe na vyakula vya anasa msibani mwako

Ndio huyu Diamond msishangae siku baba yake akitangulia mbele za haki akatumia hata milioni hamsini 50 kwa shuhuli ya mazishi, na akafanya yawe ya kistar, naona siku hiyo viongozi wakubwa watakuja na wasanii watakuja, lakini akiwa hai hata kumsikia hataki kumsikia

Hii ndio dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ehee ndio hivyo jinsi watu wanavyokukimbia wakati wa kuumwa ndivyo jinsi watakavyokuja kwa wingi kukuchangia hela ya geneza na sanda na wakaweka pombe na vyakula vya anasa msibani mwako

Kwangu siwez mlaumu kwa lolote sasa hivi maana huwez jua huyo mzee alivowaumiza alipokuwa na nguvu.
Kuna wazaz wengine wakiwa katika position nzur hujisahau sana. Kuna mzaz unaweza ombea mpaka afe. Somo tu kwa kina baba tusijisahau kwa michepuko pia mtoto kufundishwa sio lazima uogopeke nyumban, ukiogopeka hapo ndo wake zetu huchukua nafasi za kutengeneza na watoto.
Mtu unakuwa na mtoto wa kiume lakin hata stori mbili hakuna. Mtoto wa miaka mitatu akisikia baba karudi anajifungia kabatini.
Raha ya mtoto ni pale unaporudi maanza mishemishe za kucheza, kama ni mkubwa unamfanya rafiki kiasi kwamba hata mambo yake ya ndan anakusimulia.
Kuna jamaa yangu mmoja ni dume anawatoto watatu. Anavoishi nao mpka raha. Mama inafikia hatua anasena watoto mimi nimeshusha ila hawana habar na mie yaan hata nikisafiri hawaniulizii ila baba sasa hayapiti masaaa. Ukweli ni kuwa wadogo anatawaza, anatoka nao out mara kwa mara. Ukimkuta nyumban anakimbizana nao kama nae ni mtoto. Anawaogesha. Akienda kunywa bia lazina arudi na nyama ya watoto na hazidishi saa tatu. Na sio kuwa ni maskinj la hasha mke mwalimu baba ana vibiashara vyake vya milion
 
Diamond=MamaDiamond+BabaDiamond kwa hiyo haijalishi Baba kafanya nini kwa kuwa alishiriki katika kumuumba lazima apate heshima yake Mambo mengine ni kumuacha yeye na Mungu Ndo mwenye Kisasi
 
Kwangu siwez mlaumu kwa lolote sasa hivi maana huwez jua huyo mzee alivowaumiza alipokuwa na nguvu.
Kuna wazaz wengine wakiwa katika position nzur hujisahau sana. Kuna mzaz unaweza ombea mpaka afe. Somo tu kwa kina baba tusijisahau kwa michepuko pia mtoto kufundishwa sio lazima uogopeke nyumban, ukiogopeka hapo ndo wake zetu huchukua nafasi za kutengeneza na watoto.
Mtu unakuwa na mtoto wa kiume lakin hata stori mbili hakuna. Mtoto wa miaka mitatu akisikia baba karudi anajifungia kabatini.
Raha ya mtoto ni pale unaporudi maanza mishemishe za kucheza, kama ni mkubwa unamfanya rafiki kiasi kwamba hata mambo yake ya ndan anakusimulia.
Kuna jamaa yangu mmoja ni dume anawatoto watatu. Anavoishi nao mpka raha. Mama inafikia hatua anasena watoto mimi nimeshusha ila hawana habar na mie yaan hata nikisafiri hawaniulizii ila baba sasa hayapiti masaaa. Ukweli ni kuwa wadogo anatawaza, anatoka nao out mara kwa mara. Ukimkuta nyumban anakimbizana nao kama nae ni mtoto. Anawaogesha. Akienda kunywa bia lazina arudi na nyama ya watoto na hazidishi saa tatu. Na sio kuwa ni maskinj la hasha mke mwalimu baba ana vibiashara vyake vya milion
Jamaa ameweza manage kuishi na watoto vizuri sana. Hivi ndio hasa inatakiwa. Mapema uko mjengoni unapiga nao misele na story mbili tatu. Watoto wanakuzoea na kukupenda haswa! Ila pia wanawake walimu kwa uzoefu wengi wanakuwaga wakali sana kuliko waume zao!

Mtoto always anapenda mtu anaempa comfort sio kumkosesha amani. For that case mshua lazma apendwe kuliko madhee. I see myself treating my bloods the same way! I love kids!
 
Sasa kama baba aliwatenga yanini kumshobokea sasa hivi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo kamwe hauwezi kuyaelewa mpaka utakapokuwa Baba na kuyapitia. Sikatai ya kwamba Mama zetu huwa wanapitia changamoto nyingi katika ndoa,mahusiano na malezi ya watoto, ila kuna mengine husababiswa na wakinamama. Haswa unapoona baba anaamua kuondoka na kuendelea na maisha yake huwa kuna mengi sana nyuma ya pazia. Kwa kuwa jamii yetu imejikita kuwatetea na kuwabeba kinamama ndio maana kina Baba huwa wanaonekana kavu sana.
Mwisho wa siku kwa haswa kwa sisi watoto wa Kiume huwa tunakuja kuwaelewa mababa zetu kwa kina zaidi pale tunapokuwa kwenye Taasisi ya Ndoa na Ubaba wa familia. Mifano iko mingi tu.

Ndio Maana katika Amri kumi za Mungu namba 4 huwa inasema "Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako." Haikumtaja mama peke yake wala kusema baba aliyekulea na kukupa matunzo, bali imemtaja BABA na Mama.
Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Jamaa ameweza manage kuishi na watoto vizuri sana. Hivi ndio hasa inatakiwa. Mapema uko mjengoni unapiga nao misele na story mbili tatu. Watoto wanakuzoea na kukupenda haswa! Ila pia wanawake walimu kwa uzoefu wengi wanakuwaga wakali sana kuliko waume zao!

Mtoto always anapenda mtu anaempa comfort sio kumkosesha amani. For that case mshua lazma apendwe kuliko madhee. I see myself treating my bloods the same way! I love kids!
mama Mpole mpaka basi ila jamaa kamshinda ujanja. Hasa kwenye kucheza mama hawez kimbizana nao. Baba unakuta kama jumamos kakaa chini kabisa wanatengeneza magari kuna wakike unakuta eti anawasuka vichwa. Yaan ni zaid ya urafiki. Ukweli mtoto anapenda mtu ambae muda wote anampa raha na baba analiweza kuliko mama.
 
Ehee ndio hivyo jinsi watu wanavyokukimbia wakati wa kuumwa ndivyo jinsi watakavyokuja kwa wingi kukuchangia hela ya geneza na sanda na wakaweka pombe na vyakula vya anasa msibani mwako

Ndio huyu Diamond msishangae siku baba yake akitangulia mbele za haki akatumia hata milioni hamsini 50 kwa shuhuli ya mazishi, na akafanya yawe ya kistar, naona siku hiyo viongozi wakubwa watakuja na wasanii watakuja, lakini akiwa hai hata kumsikia hataki kumsikia

Hii ndio dunia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawahi kusikia "mazishi ya kifahari" kwa Waislam.

Halafu nakushauri kuwa wachana na mambo ya kufatilia ya watu, huyajuwi. Wewe fata yako na familia yako. Ya Diamond na familia yake yatakusaidia nini?

Unajuwaje nani atatangulia?
 
Ww tulia acha kumshobokea diamond

Back
Top Bottom