Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

huyo jamaa anakosea kumtelekeza mtoto. Shahawa si zake yaan lait ningekuwa mimi afe paka afe nyanj mtoto nabeba.eti niachane na mwanamke kwa ukorofi wake niache mtoto haha shahawa zangu hazilali nje ya nyumba hata kama inakunguni zitalala tu na hapa ndo tunapokesaea wanaume tulio wengi sisi tunaona solution ni kumtelekeza na mtoto. Kama umeshindwana na mama unategemea huyo mtoto atakuwaje si ndo mwanzo wa kuwa kina anti john na mama akashangilia tu ilimradi kinaingia mdomoni tuu
Kuna vibweka vinafanyika mpaka jamaa haamini kama anaweza kuwa mwanae huyo

Ndio sababu anahofia anaweza kukomaa kuhudumia hata kinguvu kumbe kuna mwenye mtoto nae anahudumia mama anawafanya mtaji tu

Mwisho wa siku mtoto anaenda kwa baba yake
 
ukweli hakuna mwanamke utaachana nae na akawa na mtoto asimlishe sumu mtoto.mimi solution nayoiona sio kuacha mtoto kabisa haijalishi umeyumba kivipi. Pia naomba ieleweke mtoto haihitaji pesa tuu. Unaweza ukawa unamhudumia kwa kila kitu hata zaidi unavojihudumia mwenyewe ila hela kama inapita kwa mama hawez sema baba katuma ila atajiweka katika mazingira kuwa kazihangaikia mwenyewe. Ndoo nikasema hata kama umeachana na mke basi siku moja moja unachukua mtoto unakaa nae kwako walau vi outing kidogo au hata ile kukuona kwa wewe ni baba inatosha.
Mimi ni kitoto changu mimi huwa mara nyingi ni mtu wa kutoka na nikipotea mwez. Sasa nisipokuwepo jion wakati anaona watoto wenzake wanawapokea babazao huwa nasikia nae anasononeka ooh na mimi babangu atakujaa tuu.najua huwa kanaumia sana na huwa najitahidi nikiwwepo basi kajisikie nipo. Kiukweli mtoto sio kutoa matumizi tu bali hata ile kuonesha nawe au unampa faraja inatosha kuliko kukimbia mazina. Humu kuna uzi ulitoka mama analalamika eti mtalaka wake anatoa 200k kwa mwez kwa mtoto tu, yaan Kwa mtoto ambae haendi shule laki mbili anaimalizaje. Yaan hata akisema anywe maziwa,pilau, na matunda mtoto mmoja tu hawez maliza kiasi chote labda kama ni vike vya mlimani city.
Yule anataka mtaji
 
Atajifunza kuwa kazi ya baba siyo kuweka mimba tu

Na itakuwa fundisho kwa wanaume wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye sio wa kwanza hivyo hakuna fundisho lolote hapo. Na wala hatakuwa wa mwisho pia.

Muhimu ni kuwa Diamond angekuwa na akili timamu angesahau yaliyopita na kumsaidia baba yake.

Tunapewa watoto na mali kama mitihani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha linaanza mama ana watoto kila mmoja na baba yake.

Unajua hapa duniani kuna binaadam wa tofauti sana,unaweza dhani ni malaika.au hakupaswa kabisa kuishi hapa.

Unaweza mtukana,msukuma,msema vibaya lakini akakaa kimyaa tu,mimi toka kipindi cha nyuma hizi habari zimeanza nilianza kuhusi dosari kwa mama wa mhusika,ingawa neno langu sio sheria.haikupita miaka mingi akaolewa na huyo mume wa sasa,nikapigia mstari mawazo yangu.
Nilisema tutaongea yoote lakini tukichunguza tutabaini shida anayo mama
 
Mf. Umefukuzwa na baba yenu kaoa kwingine amewaacha mkateseka kabisa mara hamna chakula au hamna hili wala lile .
Mara nyota njema ikaonekana asubuhi baba mtu anaita waandishi wahabari huyu ni mwanangu anitunzi naumwa hanisaidii .
Jiulize basi kwanini alipokuwa anaimba nenda kamwambie au mbagala hajamuhitaji ni leo yupo na zari nakafanikiwa ??
Hata your my number one hajamtafuta katika maisha usiache mbachao kwa msala upitak ishini kwa usawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye sio wa kwanza hivyo hakuna fundisho lolote hapo. Na wala hatakuwa wa mwisho pia.

Muhimu ni kuwa Diamond angekuwa na akili timamu angesahau yaliyopita na kumsaidia baba yake.

Tunapewa watoto na mali kama mitihani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Apambane tu na hali Yake...maana kama alijua diamond ni mtoto wake basi angewajibika ipasavyo ..siyo kuweka tu mimba na kuondoka. hata njiwa tu pamoja na kwamba hawana utashi wanalea watoto halafu eti binadam mwenye utashi anajifanya kujisahaulisha...aendelee kujifunza... kuitwa baba siyo kuweka tu mimba ni pamoja na kuwajibika

Unadhani diamond asingelelewa na mama yake akawa kibaka huyo baba yake uchwara angekuwa anamlalamikia sasa hivi?
Wacha ajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond=MamaDiamond+BabaDiamond kwa hiyo haijalishi Baba kafanya nini kwa kuwa alishiriki katika kumuumba lazima apate heshima yake Mambo mengine ni kumuacha yeye na Mungu Ndo mwenye Kisasi
Acha hizo...hizo sperm hata bank of sperm zipo..uumbajii ni kazi ya Mungu...watu tuchukue nafas zetu
 
Apambane tu na hali Yake...maana kama alijua diamond ni mtoto wake basi angewajibika ipasavyo ..siyo kuweka tu mimba na kuondoka. hata njiwa tu pamoja na kwamba hawana utashi wanalea watoto halafu eti binadam mwenye utashi anajifanya kujisahaulisha...aendelee kujifunza... kuitwa baba siyo kuweka tu mimba ni pamoja na kuwajibika

Unadhani diamond asingelelewa na mama yake akawa kibaka huyo baba yake uchwara angekuwa anamlalamikia sasa hivi?
Wacha ajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza nakuja kulipa
 
Nilichogundua wengi wanaomsapoti Diamond kwa kumtenga Baba yake ni SINGLE MOTHERS
 
Kuna mambo kamwe hauwezi kuyaelewa mpaka utakapokuwa Baba na kuyapitia. Sikatai ya kwamba Mama zetu huwa wanapitia changamoto nyingi katika ndoa,mahusiano na malezi ya watoto, ila kuna mengine husababiswa na wakinamama. Haswa unapoona baba anaamua kuondoka na kuendelea na maisha yake huwa kuna mengi sana nyuma ya pazia. Kwa kuwa jamii yetu imejikita kuwatetea na kuwabeba kinamama ndio maana kina Baba huwa wanaonekana kavu sana.
Mwisho wa siku kwa haswa kwa sisi watoto wa Kiume huwa tunakuja kuwaelewa mababa zetu kwa kina zaidi pale tunapokuwa kwenye Taasisi ya Ndoa na Ubaba wa familia. Mifano iko mingi tu.

Ndio Maana katika Amri kumi za Mungu namba 4 huwa inasema "Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako." Haikumtaja mama peke yake wala kusema baba aliyekulea na kukupa matunzo, bali imemtaja BABA na Mama.
Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu siwez mlaumu kwa lolote sasa hivi maana huwez jua huyo mzee alivowaumiza alipokuwa na nguvu.
Kuna wazaz wengine wakiwa katika position nzur hujisahau sana. Kuna mzaz unaweza ombea mpaka afe. Somo tu kwa kina baba tusijisahau kwa michepuko pia mtoto kufundishwa sio lazima uogopeke nyumban, ukiogopeka hapo ndo wake zetu huchukua nafasi za kutengeneza na watoto.
Mtu unakuwa na mtoto wa kiume lakin hata stori mbili hakuna. Mtoto wa miaka mitatu akisikia baba karudi anajifungia kabatini.
Raha ya mtoto ni pale unaporudi maanza mishemishe za kucheza, kama ni mkubwa unamfanya rafiki kiasi kwamba hata mambo yake ya ndan anakusimulia.
Kuna jamaa yangu mmoja ni dume anawatoto watatu. Anavoishi nao mpka raha. Mama inafikia hatua anasena watoto mimi nimeshusha ila hawana habar na mie yaan hata nikisafiri hawaniulizii ila baba sasa hayapiti masaaa. Ukweli ni kuwa wadogo anatawaza, anatoka nao out mara kwa mara. Ukimkuta nyumban anakimbizana nao kama nae ni mtoto. Anawaogesha. Akienda kunywa bia lazina arudi na nyama ya watoto na hazidishi saa tatu. Na sio kuwa ni maskinj la hasha mke mwalimu baba ana vibiashara vyake vya milion
Safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKI THUBUTU KUMSAIDIA BABAKE NDO MWISHO WAKE.HAYA MAMBO YALIKUA SIRI SANA SAIV NAONA YANAKUJA KWA KASI SANA NAONA TUNA KALIBIA KUFIKA
 
Back
Top Bottom