T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Kuna vibweka vinafanyika mpaka jamaa haamini kama anaweza kuwa mwanae huyohuyo jamaa anakosea kumtelekeza mtoto. Shahawa si zake yaan lait ningekuwa mimi afe paka afe nyanj mtoto nabeba.eti niachane na mwanamke kwa ukorofi wake niache mtoto haha shahawa zangu hazilali nje ya nyumba hata kama inakunguni zitalala tu na hapa ndo tunapokesaea wanaume tulio wengi sisi tunaona solution ni kumtelekeza na mtoto. Kama umeshindwana na mama unategemea huyo mtoto atakuwaje si ndo mwanzo wa kuwa kina anti john na mama akashangilia tu ilimradi kinaingia mdomoni tuu
Ndio sababu anahofia anaweza kukomaa kuhudumia hata kinguvu kumbe kuna mwenye mtoto nae anahudumia mama anawafanya mtaji tu
Mwisho wa siku mtoto anaenda kwa baba yake