Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Umeona sasa hapo tu ndio unapoona rangi halisi za yule mama na gata ukaelewa kwa kidogo tu kiini cha ugomvi wao ukiacha d angalia hata esma yule yan hii familia ni shida
Kwangu mimi na kwamtazamo tu yule baba ni mstaarabu na laiti diamond angefunguka angemtafuta na wakayamaliza hata kama ni kumsaidia amsaidie ishu niliyoina sana kwa baba ni fursa ya kutowaona hata wajukuu. Mjukuu ni zaid ya mtoto.mzaz anatokeaga kumpenda mjukuu kuliko hta mtoto mwenyewe. Mama diamond sio mstaraabu na ukweli uliopo anguko la d litatokana na mama. Mimi nilitarajia mama angekuwa kemeo kwa mwanae kuhusu kesi za wanawake lkn sitashangaa mama ndo akawa chanzo cha mahusiano ya d kuvunjika.