Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

Kuna vibweka vinafanyika mpaka jamaa haamini kama anaweza kuwa mwanae huyo

Ndio sababu anahofia anaweza kukomaa kuhudumia hata kinguvu kumbe kuna mwenye mtoto nae anahudumia mama anawafanya mtaji tu

Mwisho wa siku mtoto anaenda kwa baba yake
 
Yule anataka mtaji
 
Atajifunza kuwa kazi ya baba siyo kuweka mimba tu

Na itakuwa fundisho kwa wanaume wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye sio wa kwanza hivyo hakuna fundisho lolote hapo. Na wala hatakuwa wa mwisho pia.

Muhimu ni kuwa Diamond angekuwa na akili timamu angesahau yaliyopita na kumsaidia baba yake.

Tunapewa watoto na mali kama mitihani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema tutaongea yoote lakini tukichunguza tutabaini shida anayo mama
 
Mf. Umefukuzwa na baba yenu kaoa kwingine amewaacha mkateseka kabisa mara hamna chakula au hamna hili wala lile .
Mara nyota njema ikaonekana asubuhi baba mtu anaita waandishi wahabari huyu ni mwanangu anitunzi naumwa hanisaidii .
Jiulize basi kwanini alipokuwa anaimba nenda kamwambie au mbagala hajamuhitaji ni leo yupo na zari nakafanikiwa ??
Hata your my number one hajamtafuta katika maisha usiache mbachao kwa msala upitak ishini kwa usawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apambane tu na hali Yake...maana kama alijua diamond ni mtoto wake basi angewajibika ipasavyo ..siyo kuweka tu mimba na kuondoka. hata njiwa tu pamoja na kwamba hawana utashi wanalea watoto halafu eti binadam mwenye utashi anajifanya kujisahaulisha...aendelee kujifunza... kuitwa baba siyo kuweka tu mimba ni pamoja na kuwajibika

Unadhani diamond asingelelewa na mama yake akawa kibaka huyo baba yake uchwara angekuwa anamlalamikia sasa hivi?
Wacha ajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond=MamaDiamond+BabaDiamond kwa hiyo haijalishi Baba kafanya nini kwa kuwa alishiriki katika kumuumba lazima apate heshima yake Mambo mengine ni kumuacha yeye na Mungu Ndo mwenye Kisasi
Acha hizo...hizo sperm hata bank of sperm zipo..uumbajii ni kazi ya Mungu...watu tuchukue nafas zetu
 
Agiza nakuja kulipa
 
Nilichogundua wengi wanaomsapoti Diamond kwa kumtenga Baba yake ni SINGLE MOTHERS
 
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKI THUBUTU KUMSAIDIA BABAKE NDO MWISHO WAKE.HAYA MAMBO YALIKUA SIRI SANA SAIV NAONA YANAKUJA KWA KASI SANA NAONA TUNA KALIBIA KUFIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…