Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hii kampeni sio muda wake..Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Anafanyiwa kampeniKwamba waliopo wameshindwa kuurudisha mfumo wa Mwendazake mpaka anaeweza ni makonda?
Sasa watakaokuwa wanashangaa ni Chadema au?Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Tunaweza shangaaKwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Suala bandari mwiba mzito sana kwa SSH hapo 2025 watatumia hela nyingi sana Na nguvu kuuubwa dola ......amejiharibia mwenyewe kwa tamaa za gang yakeKwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Siku hizi hawahitaji chaguzi.Suala bandari mwiba mzito sana kwa SSH hapo 2025 watatumia hela nyingi sana Na nguvu kuuubwa dola ......amejiharibia mwenyewe kwa tamaa za gang yake
Ngoja tumuone na Huyu anasema yeye anaitaka pepo ...tuone fekeche zake ....simuoni akiomba ridhaa 2025 .....simuoniii kbsssSiku hizi hawahitaji chaguzi.
Mwendazake alishawafundisha mwaka 2020 namna ya kukata na kufunua kwenye chaguzi bila chembe ya aibu.
Mama kashakula hela ya kifuta uchumba kutoka kwa wajomba sasa itakuaje akope sehemu nyingine arudishe?hata wamteue kuwa Rais msaidizi hatutaacha kudai bandari zetu.