Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

Acha mchezo ana ngoma Moja inaitwa libebe aisee Wacha mchezo kabisa kumbukumbu zinarudi nyuma dah! Saumu wangu wewe nakukumbuka sana, mniacheni kwanza 😪
Pole sana mkuu tafuta pesa na ww umnyakulie mtu baby wake.
 
Libebe,Halafu kuna ule kama bonge la boya nimetulizana kwenye kiota changu hizi nyimbo nazipenda sana
 
Yamoto band walikuwa vizuri sana sijui nini kiliwatenganisha
Naona mboso ndyo anapasua tu wengine wanajikongoja
Sasa bora hata beka na aslay kuliko mboso yaani kila kitu ni cha WCB mwenzake HARMONIZE kipindi anaondoka alitaifishwa mpaka account yake ya YOUTUBE.
 
Tatizo MENEJEMENT, hata Aslay alianza vizuri sana kuanzia Mhudumu, Angekuona, Nibebe na zinfine ila sahivi dogo amekuwa muigizaji kama John Mazambi
Beka nae alianza vizuri na Sikinai, Libebe na Sarafina sahivi kaanza kupotea
Aslay alipata management ya kijinga sana, walikua waachia ngoma Kila wiki wakidhani sifa
 
Sasa bora hata beka na aslay kuliko mboso yaani kila kitu ni cha WCB mwenzake HARMONIZE kipindi anaondoka alitaifishwa mpaka account yake ya YOUTUBE.
Huyu atakuwa kama lavalava hatoki WCB ng'o kikubwa anapata hela ya kubadili nguo
 
Aaah umenikumbusha na Samir wa kinyulinyuli, Mahewa Recs.
 
Back
Top Bottom