unazungumzia kumbalidisha mtu tabia haumwi wewe...?Pole Mkuu. Katika kuchagua hakuna formula. Lakini una nafasi ya kumbadilisha mwenza wako kupitia wewe kama ukisimama imara kwenye misimamo sahihi na ya kiuanaume. Less emotions more actions. Be hard man, you have alot in life apart from a woman.
šššš nikitoka hapa kibaruani, nakuja hapo kwako kwa spidi ya ngiriBado mnahangaika na mademu wahuku ni mavampire huyu Equation x amenyonywa damu sasa anapulizia gesi
Huyu sio wa kumpa pole hata!Pole sana man
Tukimuwahi atapona?Huyu sio wa kumpa pole hata!
Haponiiiiiš¤£Tukimuwahi atapona?
Ndio maana nikampa pole šHaponiiiiiš¤£
šLakini una nafasi ya kumbadilisha mwenza wako kupitia wewe kama ukisimama imara
Fanya sana ibada! Hayo na sisi yameshatukuta... Yanachoma sana.. tembea tembea sehem za starehe kesha mpaka asubhiHii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo yao wanarudi kama kasongo!.
Tafuteni wanaojitambua nakujiheshimu, wabishi kazeni mafuvu na hizo shingo ndo mtakuja kujua kwanini mtu analia halafu machozi hayatoki!.
Mimi sio wakwenda beach saa nane usiku mimi ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake!.
View attachment 3211392