KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo yao wanarudi kama kasongo!.
Tafuteni wanaojitambua nakujiheshimu, wabishi kazeni mafuvu na hizo shingo ndo mtakuja kujua kwanini mtu analia halafu machozi hayatoki!.
Mimi sio wakwenda beach saa nane usiku mimi ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake!.