Msitafute mwanamke alietulia tafuteni mwanamke anaejiheshimu na kujitambua!.

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo yao wanarudi kama kasongo!.

Tafuteni wanaojitambua nakujiheshimu, wabishi kazeni mafuvu na hizo shingo ndo mtakuja kujua kwanini mtu analia halafu machozi hayatoki!.
Mimi sio wakwenda beach saa nane usiku mimi ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake!.

Pole Mkuu. Katika kuchagua hakuna formula. Lakini una nafasi ya kumbadilisha mwenza wako kupitia wewe kama ukisimama imara kwenye misimamo sahihi na ya kiuanaume. Less emotions more actions. Be hard man, you have alot in life apart from a woman.
unazungumzia kumbalidisha mtu tabia haumwi wewe...?
 
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo yao wanarudi kama kasongo!.

Tafuteni wanaojitambua nakujiheshimu, wabishi kazeni mafuvu na hizo shingo ndo mtakuja kujua kwanini mtu analia halafu machozi hayatoki!.
Mimi sio wakwenda beach saa nane usiku mimi ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake!.

View attachment 3211392
Fanya sana ibada! Hayo na sisi yameshatukuta... Yanachoma sana.. tembea tembea sehem za starehe kesha mpaka asubhi
 
Lavu is a byulifu thingi😁nini kimekusibu KENZY
 
Attachments

  • Screenshot_20250123_205601.jpg
    Screenshot_20250123_205601.jpg
    152.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom