Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Sure...!kukimbiza mwizi ni akili maana waweza shangaa unageuziwa kibao
kipindi cha pili mechi imechezeshwa kis*nge sanaMbona umepanik? Au umeshachana??
Ligi bado wewe,mkuu leo laleni vizuri man u!Mkuu utakua umeumia vibaya sana
We nae,hii ligi bado sana hapo mnaona wajanjaaaaaViva man u
......Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Mmeshainyanya hapo?endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Huu utabiri kama umetimia kwa kiasi fulani.Man U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
Unasemaje mkuu!!labda sio pale etihad
leo mmebebwa bebwa basi mnasuumbuuua...Una
Unasemaje mkuu!!
Janja ya guardiola ni sane na midfield..sane alikutana na jitu..city ndo huwa wanabebwa..isitoshe leo wamecheza sana faulo kipindi cha kwanza refa akakausha...spurs anampiga city..hapo ubingwa mpaka mayleo mmebebwa bebwa basi mnasuumbuuua...
Una undugu na gwajima ?!
kipindi cha kwanza kilikua fair..ila chapili refa alwabeba sana man u....mtu akiguswa kidogo faul alafu city mtu akichezewa rafu anatoa advantage na move ikiisha anapotezea hatoi kadi..inafika mahali anakataa penati ya wazi kabisa *****Janja ya guardiola ni sane na midfield..sane alikutana na jitu..city ndo huwa wanabebwa..isitoshe leo wamecheza sana faulo kipindi cha kwanza refa akakausha...spurs anampiga city..hapo ubingwa mpaka may
Ahsante mkuu, yametimia.It was a fantastic derby.
Wengi walikuwa wanaiombea Man Utd mabaya,lakini performance ya timu imekuwa rafiki na imetoa matokeo.
Ahsante Mungu.
Ahsante Mourinho.
Ahsante benchi la ufundi na menejimenti nzima ya timu.
Ahsante sana wachezaji wote.
Ahsante sana fans wooooote.
This is EPL...!
Kumbe Leo mechi imekezewa OT ?
Sasa mbona man city walikuwa ndyo wapo nyumbani?
Au mpira hukuangalia?
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...