Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...
......
.....kunywa kirikuu saba za Serengeti ntakuja kulipa
 
Hii post niliiona tangu jana, lakini sikutaka kuchangia mpaka mpira utakapo isha.

Nikajisemea kimoyomoyo kwamba huyo Mou akitumia mbinu ya Klopp lazima City afe palepale...
 
mkuu mbona mimi nimeweza nakesho hasubui nakwenda chukua pesa zangu SUPABETS
 
Janja ya guardiola ni sane na midfield..sane alikutana na jitu..city ndo huwa wanabebwa..isitoshe leo wamecheza sana faulo kipindi cha kwanza refa akakausha...spurs anampiga city..hapo ubingwa mpaka may
kipindi cha kwanza kilikua fair..ila chapili refa alwabeba sana man u....mtu akiguswa kidogo faul alafu city mtu akichezewa rafu anatoa advantage na move ikiisha anapotezea hatoi kadi..inafika mahali anakataa penati ya wazi kabisa *****
 
Ahsante mkuu, yametimia.It was a fantastic derby.
Wengi walikuwa wanaiombea Man Utd mabaya,lakini performance ya timu imekuwa rafiki na imetoa matokeo.
Ahsante Mungu.
Ahsante Mourinho.
Ahsante benchi la ufundi na menejimenti nzima ya timu.
Ahsante sana wachezaji wote.
Ahsante sana fans wooooote.
This is EPL...!

Duhh ahsante zote hizo utadhani wamecheza final bwana!! 😀😀😀 ila nawapa hongera,, though sikutaka washinde...
 
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...

Umetabiri vizuri aise hongera!

Ebu tabiri na hapa..
Uefa nani atabeba ndoo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji174]
 
Back
Top Bottom