Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #61
Nimerudi kamandaHahaha hatarudia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi kamandaHahaha hatarudia tena
kwani vp?Muwe mnapiga ramli zenu vizuri
ndoto zipi?Ww jamaa ww na ndoto za alinacha
vp waliongeza?Mtoa Mada na Man U yake anafukuza upepo....2nd half lazma Man City waongeze 2 mm ni mshabiki wa Man U lakini hatuchomoki hapa....
kweli mkuu, tuko pamoja.Tulio na maono tuliunga mkono hoja mapemaa
Ww jamaa ni hatariHesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Man u hana namna leo zaidi ya kukabidhi kikombe kwa mtani wake!
Sioni kama Man u atashinda katika mchezo wa leo, kama itakuwa hivyo basi ni bahati ya hali ya juu kwa yeye kufanya hivyo.
Zaidi ya hapo, atapambana na matokeo yake.
Leo Manchester united anakufa vizuri mno
Manfongo kwaheri, kwa heri kwa heri nakutakia maisha mema
Duh wamesawazisha bwana
Man c 2 2 Man u
yule refa kum@ tu,hajui chochote
Mourinho is a tactician, asingekubali kufungwa kijinga gemu hii... YAANI PEP GARDIOLA ABEBEE KOMBE KIRAHISI TU?? tena mbele ya mourinho??endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Kausha basi,kwani ungeuchuna ungepungukiwa nini?Tuendelee kunywa beers
endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Kumbe Leo mechi imekezewa OT ?Mourinho is a tactician, asingekubali kufungwa kijinga gemu hii... YAANI PEP GARDIOLA ABEBEE KOMBE OLD TRAFOLD?? tena mbele ya mourinho??
Polen wakaanga sumu, mkawasimulie baba zenu sasa!!
Manchester is RED!! [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kausha basi,kwani ungeuchuna ungepungukiwa nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtoa mada uwe unajaribu biko
Typo mkuu!!Kumbe Leo mechi imekezewa OT ?
Sasa mbona man city walikuwa ndyo wapo nyumbani?
Au mpira hukuangalia?
Kama nakuona ulivyo na plesha pole sana kunywa maji itashukaKausha basi,kwani ungeuchuna ungepungukiwa nini?
Nashukuru kwa utabiri wakowalichofanya liverpool ni kuchokoza mzinga wa nyuki sasa chunga sana usikutane nae
Asante kwa utabiri huuLeo Manchester united anakufa vizuri mno