Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park


Povu ruksa...
Ww jamaa ni hatari
 
Man u hana namna leo zaidi ya kukabidhi kikombe kwa mtani wake!
Sioni kama Man u atashinda katika mchezo wa leo, kama itakuwa hivyo basi ni bahati ya hali ya juu kwa yeye kufanya hivyo.
Zaidi ya hapo, atapambana na matokeo yake.

Leo Manchester united anakufa vizuri mno

Manfongo kwaheri, kwa heri kwa heri nakutakia maisha mema

Duh wamesawazisha bwana

Man c 2 2 Man u

yule refa kum@ tu,hajui chochote

endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Mourinho is a tactician, asingekubali kufungwa kijinga gemu hii... YAANI PEP GARDIOLA ABEBEE KOMBE KIRAHISI TU?? tena mbele ya mourinho??

Polen wakaanga sumu, mkawasimulie baba zenu sasa!!

Manchester is RED!! [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Mourinho is a tactician, asingekubali kufungwa kijinga gemu hii... YAANI PEP GARDIOLA ABEBEE KOMBE OLD TRAFOLD?? tena mbele ya mourinho??

Polen wakaanga sumu, mkawasimulie baba zenu sasa!!

Manchester is RED!! [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Kumbe Leo mechi imekezewa OT ?


Sasa mbona man city walikuwa ndyo wapo nyumbani?

Au mpira hukuangalia?
 
Back
Top Bottom