Msituletee Kiingereza chenu hapa- W.Ruto!

Msituletee Kiingereza chenu hapa- W.Ruto!

Nini chanzo cha uchaguzi wa uraisi Kenya kufutwa udanganyifu au baadhi ya taratibu zilikiukwa?
 
Kazi ipo ila naona kama hakuna uchaguzi bali kuna serikali ya Mseto inafatia hapa
 
Kila mkenya yuamjua Ruto ni nani. Huyu ni jambazi sugu alobobea kwa uwizi wa mali ya ummah na mauwaji ya kinyama. Kwa hivyo matamshi yake hayo kwake yeye mbona ya kawaida tu?
 
Majaji wa Afrika jifunzeni kwa Wakenya hiyo ndio demokrasia ya kweli, mtu kupewa 500000000 K money na kukataa sio mchezo, huyo ni mcha Mungu wa kweli. Kila la heri Wakenya, Amani kwenu. AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Sasa mbona yeye ameendelea kuongea kiingereza hicho hicho alichowaponda hao majaji...
 
Majaji wa Afrika jifunzeni kwa Wakenya hiyo ndio demokrasia ya kweli, mtu kupewa 500000000 K money na kukataa sio mchezo, huyo ni mcha Mungu wa kweli. Kila la heri Wakenya, Amani kwenu. AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Majaji wapo 6
wewe uatoa milioni 500 za Kenya kwa mtu mmoja?
hebu acheni visababu
acheni uchaguzi urudiwe
 
Back
Top Bottom