Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

Usicheke bali Tafakari kwa kina.. Huu ni wakati wa upinzani kuandaa mtu makini wa kuchukua nchi.. Hao wote wanaolalamika wapo tayari kuchagua mtu mwingine toka upinzani.. Ila kama mtaendelea kuleta wagombea mnaowataka nyie, mtaendelea kusema tumeibiwa kura..
Kwani hawaibi kura? Kama huamini subiri 2025 kama Samia mtamtoa nyie wanaccm mliokata tamaa.
 
Maisha ni magumu, lakini nafarijika sikushiriki dhambi ya kuchagua hili jinamizi ,
Wana CCM walaamini wataishi peponi, badala yake kilio kimezidi hata hao wapinzani,
Haha huwa nawananga kichizi.

Mimi nimebarikiwa kuwatambua mashetani mapema sana. Ccm hawana baraka zangu kamwe.
 
Wale wabunge wengi wa CCM kule bungeni ndio walipitisha tozo, sio watanzania, usitusingizie, na wala wale wabunge hawakuchaguliwa na watanzania, waliwekwa na aliyekuwa mwenyekiti wao.
Na mlikuwa wapi kupinga Hilo ? Si mliambiwa muingie Street kuandamana kupinga uharibifu wa uchaguzi ?
Halafu mko hapa mnatupigia kelele tulieni dawa iwaingie
 
Kweli hiyo inaweza wafanya watu wawe na akili, leteni ujinga mtaumia wenyewe, halafu iwe marufuku kuhama hama!!ikibidi kuwe na VISA, sio wajinga mnakusanyana huko mnachagua mzigo, yakiwashinda mnakimbilia kwenye neema za wengine.hahaaaaa
Ndio inatakiwa iwe hivyo
 
Sie tulimpigia kura magufuli sio samia. Magu angekuwepo tusingelia.

We ulimuona lissu ana maana kwako na sie tuliona Magu ana maana kwetu.
Kwani huyo Samia alikuwa chadema ? au baada ya kufa huyo mjinga wenu alitokea wapi ? Ni Nani alimchagua huyo mama yenu huyo hakuwepo hawamu ya 5 ? Tuliza kalio Chini sasa na tusisikie kelele zako za kipuuzi kulalamika tozo na ugumu WA maisha
 
Nchi hii wajinga ni wengi mno na ndio wapiga kura wengi!!na ndio wanaopigika sana na maisha, lakini wakati wa uchaguzi wanajifanya hamnazo!!na ndio mtaji mkubwa wa chama tawala!!Ndio maana kuna jamaa alipendekeza angalau kwenye katiba iingizwe mpiga kura lazima awe na elimu angalau kidato cha sita!!!
 
Kwani hawaibi kura? Kama huamini subiri 2025 kama Samia mtamtoa nyie wanaccm mliokata tamaa.
Wewe ambaye huamini kama atatoka ndio umekata tamaa.. Ila mimi bado sijakata tamaa na ninaamini kuwa msipomleta Lisu atatoka..
 
Back
Top Bottom