Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

Wewe ambaye huamini kama atatoka ndio umekata tamaa.. Ila mimi bado sijakata tamaa na ninaamini kuwa msipomleta Lisu atatoka..
Hehehe una chuki binafsi....So far Lissu is the best candidate Tanzania inajua hivyo na dunia pia.
 
Nchi hii wajinga ni wengi mno na ndio wapiga kura wengi!!na ndio wanaopigika sana na maisha, lakini wakati wa uchaguzi wanajifanya hamnazo!!na ndio mtaji mkubwa wa chama tawala!!Ndio maana kuna jamaa alipendekeza angalau kwenye katiba iingizwe mpiga kura lazima awe na elimu angalau kidato cha sita!!!
Acha wanyooshwe.. ndo gharama za ujinga.. 😎
Machemba kamatia hapo hapo, bado tozo ni ndogo hii.. huko Tripoli tozo ya benk ni 20 elfu kwa laki moja.. wtz wanadeka sana
 
Back
Top Bottom