Nchi hii wajinga ni wengi mno na ndio wapiga kura wengi!!na ndio wanaopigika sana na maisha, lakini wakati wa uchaguzi wanajifanya hamnazo!!na ndio mtaji mkubwa wa chama tawala!!Ndio maana kuna jamaa alipendekeza angalau kwenye katiba iingizwe mpiga kura lazima awe na elimu angalau kidato cha sita!!!