Msiwakatishe watoto tamaa kwa kutaka wawe kama ninyi

Kabisa tukana tukana Kila dakika humfanya mtoto awe sugu Mimi sijawahi kuwachapa watoto kwanza nawaona wadogo hawastahili adhabu mama yao ni butua mara pumbavu nyie we mbwa acha hiki acha Kile basi tafrani
Na wewe unamuacha mkeo afanye hivyo? Watoto wanatakiwa kuongeleshwa kwa upole mimi sijisifu ila mtoto akikaa kwangu akikosea namsema sana tena nampa maneno ambayo hawezi kulala atayawaza sana kuna siku mtoto wa dada yangu alimwambia mama yake sitaki kwenda kwa uncle kukaa maana ukikosea anakusema mpaka unajuta kwanini ulikosea
 
Unanikumbusha mimi nikiwa kwenye top three nafurahi mno na kumpelekea bi mkubwa ripoti

Bi mkubwa badala ya kupongeza anaanza kukandia kwa kusema "kwanini huwi wa kwanza, kwani huyo wa kwanza ana miguu minne?"
Au utasikia eti uyo wakwaza anafundishwa na mwalimu yupi
 
Nimeongea nae asitukane watoto lakini naona anaendelea nimeachana nae ila nikiwa around hawezi kuwapiga maana anajua sipendi ila najua atakua anawapa kifinyo nikiwa sipo anasema nadekeza watoto watakuja kuharibikiwa
 
Mpe darasa la malezi
 
Good parenting style! Hongera sana! Muhimu pia kumsisitiza asibweteke
 
Hilo Zazi ungeliuliza lenyewe lilipata division gani? Ile kuna wazazi wengine ni wa kuhurumia tu!
 
Hilo Zazi ungeliuliza lenyewe lilipata division gani? Ile kuna wazazi wengine ni wa kuhurumia tu!
🀣🀣🀣 acha kabisa watu tunatofautiana akili mitazamo na ata kutenda
 
Hilo Zazi ungeliuliza lenyewe lilipata division gani? Ile kuna wazazi wengine ni wa kuhurumia tu!
Kila mzazi ukimuuliza performance yake shuleni atakwambia alikuwa kipanga wa darasa.

Ukiendelea kumuuliza mbona umeishia form four ataanza kukupiga biti "ushakuwa, naona asa ivi tunafanana umri.
 
Kumbe wa Jamaa Pamoja na kusoma certificate ya development community Mwalimu Nyerere Memorial Academy kumbe una Akili Sana yaani wewe ndo unafaa kuitwa Baba
🀣🀣🀣 ako ka certificate inanisaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…