Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Mimi nakumbuka nikiwa form 2 nilipata 4 27 dada angu alikuwa ananisomesha alinitukana sana nilishindwa jizuia nikamjibu mbele ya shemeji mbon wwe unatumia chet fek kazinKila mzazi ukimuuliza performance yake shuleni atakwambia alikuwa kipanga wa darasa.
Ukiendelea kumuuliza mbona umeishia form four ataanza kukupiga biti "ushakuwa, naona asa ivi tunafanana umri.
Aliend kumuambia mwalimu wangu wa darasa ambaye nilikuwa namuita kaka kutokana na ukaribu wake na shemeji nilitaandikwa ila dada alienda kusoma mwaka uho uho akarudia mtihani