Mimi nakumbuka nikiwa form 2 nilipata 4 27 dada angu alikuwa ananisomesha alinitukana sana nilishindwa jizuia nikamjibu mbele ya shemeji mbon wwe unatumia chet fek kazin
Aliend kumuambia mwalimu wangu wa darasa ambaye nilikuwa namuita kaka kutokana na ukaribu wake na shemeji nilitaandikwa ila dada alienda kusoma mwaka uho uho akarudia mtihani
Kias chake mkuu si unajua tena mimi by professional ni social worker so imenisaidia sana na ninaipenda taalum mara nyingi na practice kwenye familia yangu