Kweli kama usemavyo kuwa kila mtu na akipendacho na ndiyo unaweza kuta mtu anapenda ugali kuliko hata chips,lakini hayo ni mapenzi tu ya mtu ila chips zina utamu wake..je wewe unazungumziaje aliyosema mleta mada kuhusu watoto?Kila mtu na akipendacho. Yaani mi nafurahi zaidi mwanaume anizidi kama 10 yrs hivi, asiwe na kitambi, mwenye miguvu yake..anikunje nikunjike!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapandwa huyo,acha tu apambane na hali yake!
Sawa tumekuelewa,,,wewe ulikua unatakajeWengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano
Zarina na daimond
Wolper-harmonize
Wema-idris
Shilole-nuhu
Hawa wamewazidi wapenzi wao miaka mingi mfano zari anamzidi daimond kama miaka 10 au zaidi
Nilichogundua ni hivi sio wao tu kina zari hata kina mama wakubwa hupenda vitoto kwa sababu eti vinajua sana mapenzi yaan havina utani katika swala la ngono tunasugua haswa na kuhakikisha kila angle ya mwili imelegea halaf havichokii,,,tofauti na hawa wakubwa kimoja tu hoi na wanasingizia eti ooh haya mambo tushayazoea wakati kumbe nguvu zishaisha
Kiukweli hivi vitoto vinapanda mlima haswaa 25 kushuka chin mpaka 18 ni balaa ati,so tusiwalaumu ni utamu tu
Wengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano
Zarina na daimond
Wolper-harmonize
Wema-idris
Shilole-nuhu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]Kuna unachokitafuta kwa Uzi huu, na utakipata hakya nani!