Msiwalaumu kina Zari,Wolper,Wema,Shilole,, kuhusu dogodogo

Msiwalaumu kina Zari,Wolper,Wema,Shilole,, kuhusu dogodogo

Kila mtu na akipendacho. Yaani mi nafurahi zaidi mwanaume anizidi kama 10 yrs hivi, asiwe na kitambi, mwenye miguvu yake..anikunje nikunjike!
Kweli kama usemavyo kuwa kila mtu na akipendacho na ndiyo unaweza kuta mtu anapenda ugali kuliko hata chips,lakini hayo ni mapenzi tu ya mtu ila chips zina utamu wake..je wewe unazungumziaje aliyosema mleta mada kuhusu watoto?
 
Wengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano
Zarina na daimond
Wolper-harmonize
Wema-idris
Shilole-nuhu
Hawa wamewazidi wapenzi wao miaka mingi mfano zari anamzidi daimond kama miaka 10 au zaidi
Nilichogundua ni hivi sio wao tu kina zari hata kina mama wakubwa hupenda vitoto kwa sababu eti vinajua sana mapenzi yaan havina utani katika swala la ngono tunasugua haswa na kuhakikisha kila angle ya mwili imelegea halaf havichokii,,,tofauti na hawa wakubwa kimoja tu hoi na wanasingizia eti ooh haya mambo tushayazoea wakati kumbe nguvu zishaisha
Kiukweli hivi vitoto vinapanda mlima haswaa 25 kushuka chin mpaka 18 ni balaa ati,so tusiwalaumu ni utamu tu
Sawa tumekuelewa,,,wewe ulikua unatakaje
 
Vitoto havifanyi haya mambo. Ila vijana wadogo wa umri ulioutaja wanachofanya ni kuweza kupiga goli nyingi za hapo kwa hapo. Tukikua ni goli moja ama mbili ila ni dakika za ya 89 au za nyongeza. Muda wote ni pasi kila sehem ya uwanja. Sasa hii ndo kandanda.
Hata kweye soka timu za magoli ya mawe ndo tunakua sasa. Tulikua tunafungana goli 10 kwa 15. Ila kwenye mpira ambapo kina ronaldo na mesi wanacheza ni mpaka penati.
Juzi tu taifa stars imeicharanga bafana bafana bao moja bila.
Sasa labda kama unapenda shawaha nyingi vijana wadogo wanafaa. Ila wakusugua hasa ni sisi sa miaka ya 40 kuendelea
 
Wengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano
Zarina na daimond
Wolper-harmonize
Wema-idris
Shilole-nuhu


Kwani nani anawalaumu?
 
Kuna unachokitafuta kwa Uzi huu, na utakipata hakya nani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]
 
Ukweli ni kuwa mabinti wadogo washamba wa maisha, njaa njaa, ulimbukeni na wasumbufu mno. Implication: No peace of mind!

Ila Wanawake wakubwa wanakuwa experienced na maisha tayari, very understanding na wengi wanatafutaga furaha ya mapenzi kupitia kukazwa tu hawana usumbufu zaidi.
Implication: Great peace of mind!
 
Back
Top Bottom