Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Mbaya ukiwa binti halafu sura kama matonya
 
Ukiweka na ulimbukeni wa visichana vilivyokulia kwenye umaskini ni hatari sana... kwa washikaji wanaotafuta hapa jf thread kama hii itakusadia kunarrow choice..maana utajua mwenye tamaa, utajua mtu aliyekulia kwenye umaskini na asiyekubali umaskini wake, utajua mtu anayefanya mwili kama bidhaa, unaweza kupredict hata pia mademu wenye mito wami lakin pia ambao wapo tayari kutoa mtandao ili wapate hela..
 
Yani mi nitoke kwenye interview ya watu elfu 11 halafu bado unipigie unataka laki 2 ya saluni? aisee patachimbika...

hao wazee mnaowakumbatia kwa sifa za mgongo wa chupa kumbuka nao walikuwa vijana kama sie..

hahaha unapigwa kibomu wakat naul yenyewe umebangaiza lol
 
Wazee mwenyewe wanapenda wadada
so wacha watafunane
 

mpyuuu life is more than those stuvz
vitu vya kupita tu hivyo
land cruiser na apartment ndo ukaona ishu sana buhahaha
the issue is is she going to have peace of mind with those stuvz
will that service continue in perpetuity till the end of the world?
bila hofu ya Mungu mdada anaingia mkenge tu wala sio sababu ya kufanya mtu atembee na mzee
 
Binadamu tuna kawaida ya kuona reality yako ndo reality ya kila mtu...
 
Wazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!

Dada unantonesha mwenzio! kwa hyo vp lile swala langu?
 
wazee weng walikosa mapenz ya kisasa... ndo maana wanatumia vzur ujana bandia wanaoupata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…